Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.
1*KUHUSU UONGO WA MAELEZO YA
MKUU WA CHUO...
____________________
mkuu i was there 2007/2010...kipindi hicho
system ya CAS inakuwa introduced miaka ya
2009/2010 kama sikosei ..i've heard several
speeches myself (eye witness)...could you be
kind enough utuwekee hayo maelezo ya
huyo unayemwita mkuu wa chuo?? (frankly
speaking hii issue ilitolewa maelezo na dvc-
prof njozi)
2.KUHUSU FAIR NO OF MUSLIM STDS
________________
rejea majibu yangu no:1....ndugu yangu
tuwe wakweli una mtoto wa ndugu yako wa
damu na mtoto wa mtu baki..unauwezo wa
kumsaidia mmoja tu utamchukua yupi?
(NIJIBU)..na wote wana vigezo sawa...
ukiweza kubeba watatu ..wawili itakuwa
ndugu mmoja wa mtu baki....
SO HILI SUALA LA KUDAHILI HILI LIKO
WAZI (I WAS THERE AS AN EYE WITNESS)
3.KUHUSU KUDAHILI WATU WA DINI MOJA
ZAIDI
_______________
sheria ya vyuo vikuu Tanzania ni lazma
udahili watu wa dini/imani zote...
ILA HAPA KUNA KITU KINAITWA RATIO/
UWIANO ....let say katika 10 ratio itakuwa
7:3
HUWEZI KUKATAA VYUO VYOTR
VINAVYOMILIKIWA NA MADHEHEBU YA
DINI havidahili in a definite same ratio...si
tumaini..saut..teku..st.john.. etc ingawa tcu-
cas lakini bado ratio ya christians na muslims
haiko balanced.....let the fact speak for
themselves
4.HAKUNA PRE ENTRY
__________________
nipestie news source please.... I CAN
ASSURE YOU ITS A BIG LIE DUDE.. and im
ready to be held accountable...i was there
meeeeen n still keeping tab on what going
on over there
5..KUHUSU MUM KUTOKUWA CAS
______________
wewe mwenyewe umetoa sababu kuwa
SUZA wazenji walichachamaa mwaka ambao
walikosa udahili wa wasomi wao vyuo vya
serikali/bara....(sina uhakika na hii sababu uliyoitoa hapo juu)
MUM ina sababu zake naomba upitie tena
comment zangu za mwanzo utaona chache
nimeziweka...
SABABU HAZIFANANI...ndugu yangu
chuo chenyewe ni kimoja tuuuu in the whole
big country like tz whereby vya mashehebu
mengine viko zaidi ya ishirini.... HAVE FAITH
KIDOGOOOOO... nyumba yako inapokea
watu mia moja ukabeba ndugu 80 watu baki
20 mwenzio kanyumba kake kadogo cha
watu ishirini naye kachukua ndugu 15 watu
baki 5.....
________________
NAHESHIMU COMMENTS ZAKO NDUGU
YANGU Mshinga ....thanks for some
complements u gave me lastly..i realy
appreciate...

thanks.

sitaweza kukujibu kwa ujumla maana huwa sipendi kujibu kwa kuruka ama kukwepa baadhi ya hoja,napenda kila sentesi yako ipate majibu ili mjadala uwee mzuri.
nikipata muda nitakuja kukujibu kwa haya maelezo yako kwa ukamilifu wake na kila sentensi ama kila hoja itapata majibu.
 
Halafu tazama na hili jamaa hapo juu! Sijui matumbo yamesha chafuka!
Manake limeanza kuhara mfululizo bila elimu.

Nyie Wagalatia ni viumbe wa ajabu sana.
Chuki, ubinafsi, hasadi na roho mbaya itawauwa kabla ya siku zenu.

Wengi wenu mlioandika humu HAMJUI CHOCHOTE kuhusa Education system ya Hapo Tz. Basi midomo mirefu tu!

Halafu wapi ktk masharti ya vyuo vikuu LAZIMA KILA CHUO KIJIUNGE NA HUO MFUMO??

Au mnaropoka tu kwa sababu midomo mali yenu!

Yale mavyuo yenu ya kanisa mbona ugalatia kuanzia ukiingia getini mpaka hivyo vyeti vyenu vinanuka system za kigalatia! Kuna mtu katia neno!?

Nyie kwa akili zenu zisivyokuwa na busara unadhani kuna wanafunzi wataweza kusajiliwa ktk chuo chochote hapa nchini bila kusajiliwa majina yao na TCU PAMOJA NA TCI??

Na wasipofanya hivyo. Hio Ruhusa ya kuendelea na Udahini watapata wapi??

Na je! Mmeona chuo hicho tu ambacho hakifuati system hio

Vingine ambavyo pia HAVIFUATI aaaa! Sababu nini?? Ugalatia umewafunga macho.

Hebu kaulizeni je! Ni chuo hiki tu nchi Kisichofuata system hio? Na je! Kutokufuata system hio ni kinyume cha masharti yaliowekwa??

Mmesahau yule muasisi wa MFUMO KRISTO (nyerere) Mungu amlaani alivyo tengeneza system ya Kuwachuja WAISLAMU NA KUWANYIMA nafasi za kuendelea na nafasi kubwa za kielimu na badala yake kuwajaza Wagalatia ktk nafasi hizo!?

Mpaka aliposhika nafasi Mzee wetu (Profesa Kighoma Malima ) Mungu amrehemu ambae ndio aliyebadili system ili wale Wasahihi na wagawa nafasi za kielimu wasijue ktk hao wanao wasahili nani Muislamu Na nani MGALATIA!

Lkn kabla ya hapo HAKUNA GALATIA HATA MOJA LILISIMAMA LIKASEMA kuwa mfumo ule ulikuwa mbaya!

Halafu mbona pia hapo chuoni Wagalatia pia WAMO?? Kwanini basi kama nyie kama mna uchungu na Hao wala vitimoto wenzenu msiwashauri wakaacha kuendelea kusoma MADRASA??

Mnamwaga mapovu meengi. Elimu yenyewe imeishia kuabudu mungu mzungu ambae yuko nusu uchi!

Mpaka siku mkija kufahamu kuwa mungu sio mzungu!
Akili zenu zitakuwa hivyo hivyo. Na hakuna wa kuweza kuzibadilisha.

Labda itokee siku yule POPE awekwe mwafrika MWEUSI!! kitu ambacho Mzungu hawezi kukubali hata YESU AKIRUDI.

Mnfnssssssssssss!

CC CHAMVIGA

Kumbe mnajua anaitwa Yesu na kumbe co nabii issa na kumbe atarudi.. Mungu aturehemu amen
 
Last edited by a moderator:
mkuu mshinga umewashika pabaya sana leo islamist extremist .hawana points za kukanusha maelezo yako.kwa sasa wanaongozwa na jazba tu.subiri wengine waamke uone balaa lake.nikupe tuu taadhari uwe mvumilivu kwa kashfa utakazo kutana nazo.

unampa kicha kwenye hamna!
 
Last edited by a moderator:
TCU ni panga jingine badala ya lile la Necta . Hivyo chuo lengo lake kuu ni kuwawezesha waislam kupata elimu ya juu. Mfumo uliopo ni mbovu na wa upendeleo. Waislam wamelalamikia sana madudu ya necta lakini hakuna mtu anajali.
Hivyo hii TCU ni mfumo mwengine wa kupendelea baada ya kuona kuna vyuo vingi vya private ambavyo havijali udini wao ni biashara na kusomesha tu.
Hivyo waislam waliukataa mfumo huu kwa sababu hawa uamini .....hii ndio sababu full stop...na laiti kama wakikubali masharti ya Tcu basi ungeona waislam wangekua wachachr pale. Hii ndio fact.
Hakuna cha fact chochote ulichopost hapo juu. Sema kuwa wewe unajiona duni mbele za wengine basi, fact fact kuna fact yoyote hapo!!!!!
Hii ni aibu nyingine kwa mtu wa level yako kuongea/kupost kitu kama hiki. Hivi hujui kuwa uwepo wa TCU umewapunguzia vijana gharama za kutumia fedha kuomba kila chuo, kumbuka application inahitaji pesa. Unataka kutuambia hawa vijana wa Kiislam ambao wako ktk vyuo tofauti na MUM wamependelewa au wamefika pale walipo kwa bahati nasibu au kwa kuwa wanastahili.

Hivi kwa mawazo yako unadhani Muslims students ni moja ya makundi maalum kama vile wanawake, vilema, albino, vipofu kwa hiyo wanahitaji upendeleo maalum? Ona aibu, chutuma, jifiche, tunaiona aibu yako mbona wapo wengi ktk vyuo vingine. TCU imekuwa msaada sana kwa wadau wanaoelewa
 
MKuu hawa wala vitimoto si wivu ndio unaowakuna!?

Mipovu wanamwaga ovyo wakati kuna migalatia kibaao inasomeshwa na hao hao waislamu.
Hii mijitu iloshazoea mikwaju ya wazungu! Eti mtu mzima na busara zake anuziwa picha ya mungu! Halafu anaiweka chumbani akaipiga na busu!
Halafu eti wakati wa kubadili nguo anaifunika isimchungulie!

Teh teh teh teh!
Wallahi dunia hii kuna binaadamu
Wana akili ndogo kuliko Panya!
Hapo kwenye red.
Kwa hiyo na uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo. Na kuna watu wanakusifu kuwa umesoma!!! au umeamua makusudi kujitia wazimu. Hao wenye akili ndogo kama ya panya ndiyo akina nani? Hicho ulichoandika kina uhusiano gani na mada tajwa? Heshimu utu wa watu, usiwadegrade hadi kiwango cha panya labda kama una agenda zingine. Ila ni jambo jema ufahamu kuwa sasa umekua kama ulikuwa hujaambiwa mimi nakuambia kuwa umekua acha kuwaza kama mtoto mdogo, thamini watu. Binadamu anastahili kushimiwa utu wake, acha dharau Kahtaan!!!!
 
mkuu mshinga umewashika pabaya sana leo islamist extremist .hawana points za kukanusha maelezo yako.kwa sasa wanaongozwa na jazba tu.subiri wengine waamke uone balaa lake.nikupe tuu taadhari uwe mvumilivu kwa kashfa utakazo kutana nazo.

unampa kicha kwenye hamna!
 
Last edited by a moderator:
St. Augustine pia hii system ya kudahili wasio na sifa ipo na inaitwa 'remedial' kwa wale ambao hawakufaulu vizuri huwahi chuoni na kusoma kwa miezi kadhaa na baada ya hapo hupewa mitihani na watakaofaulu basi hujiunga moja kwa moja na degree na kwa watakaofeli hushauriwa kujiunga na cheti.

Kwanza nideclare interest kuwa mi ni muhitimu wa MUM BAED 2013. Kuhusu chuo husika kutojiunga na CAS ulitokana na maamuzi sahihi ya uongozi wa chuo ili kuepuka janga la kumwagiwa lundo la vijana wa vyoo vikuu na si vyuo vikuu. MUM wanatumia utaratibu wa mwanafunzi kujaza fomu ya chuo na kuweka sifa zake kitaaluma ambapo cut off point inawekwa na TCU.
kupitia form hizo hizo chuo huchagua wanafunzi kinaoona wanafaa badala ya kuletewa wanafunzi usokuwa hata na detail zao.
pia utaratibu huu huondoa mgogori wa wanafunzi kusoma chuo ambacho halikuwa chaguo lake.
kuhusu dhana mbovu kuwa chuo kinachukuwa wanafunzi waso na sifa hilo si kweli maana chuo kinapo select wanafunzi majina hutunwa TCU kwa ajili ya prooffing kabla ya kutolewa kwenye media.
Sana sana chuo kimeendelea kuchukua wanafunzi wenye uwezo mkubwa na kuwaandaa competently tofauti na 'vyoo vikuu vingine vya kata'.
IFIKE PAHALA MUACHE KASHFA NA UNAFIQ DHIDI YA UISLAM NA MAENDELEO YA WAISLAMU.
 
Hapo kwenye red.
Kwa hiyo na uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo. Na kuna watu wanakusifu kuwa umesoma!!! au umeamua makusudi kujitia wazimu. Hao wenye akili ndogo kama ya panya ndiyo akina nani? Hicho ulichoandika kina uhusiano gani na mada tajwa? Heshimu utu wa watu, usiwadegrade hadi kiwango cha panya labda kama una agenda zingine. Ila ni jambo jema ufahamu kuwa sasa umekua kama ulikuwa hujaambiwa mimi nakuambia kuwa umekua acha kuwaza kama mtoto mdogo, thamini watu. Binadamu anastahili kushimiwa utu wake, acha dharau Kahtaan!!!!

Nadhani ungelisoma toka mwanzo wa hizi post. Basi nadhani Badala ya kunilaumu ungenipongeza kuandika kuwa kuna viumbe wana akili kama ya Panya.

Believe you me.
 
thanks.

sitaweza kukujibu kwa ujumla maana huwa sipendi kujibu kwa kuruka ama kukwepa baadhi ya hoja,napenda kila sentesi yako ipate majibu ili mjadala uwee mzuri.
nikipata muda nitakuja kukujibu kwa haya maelezo yako kwa ukamilifu wake na kila sentensi ama kila hoja itapata majibu.

ZA TANGU JANA KWANZA NDUGU YANGU..TUMSHUKURU MUNGU KWA KUTUAMSHA SALAMA...
......Just waiting for your answers mr. Mshinga...
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ungelisoma toka mwanzo wa hizi post. Basi nadhani Badala ya kunilaumu ungenipongeza kuandika kuwa kuna viumbe wana akili kama ya Panya.

Believe you me.
Hakuna binadamu mwenye akili ya panya Kahtaan!!!, Kwanini umdhalilishe binadamu mwenzako kwa kiwango hicho. Hivi kweli kwenye kozi za humanity ulizosoma, ndivyo ulivyofundishwa? Au ndiyo mafundisho ya dini yako yanavyokuelekeza? kama majibu ni ndiyo!!! basi kuna shida kubwa ktk jamii hiyp unayoishi wewe. Maana imekuwa too much, kila unapopost kebehi, bezo, dhihaka zinatawala dhidi ya kundi fulani la watu, kwako imekuwa kawaida hata pale mada haina mahusiano yoyote, wewe unashambulia kundi hilo kwanini? naomba unijibu maswali yangu machache yako hapa chini.

Historia inatuambia kuwa makatili wote waliopata kuishi katika uso wa nchi walitumia sana njia hiyo kuwadegrade fellow human beings to insects like bugs, cockroaches and to small animals like like rats. kumbuka lugha hiyo ilitumika sana kule Rwanda, Hitler aliitumia, Gadaffi aliitumia, kule Bosnia ilitumika. Sasa nakuuliza maswali: are you also in that group? or are you in a secret mission of cleasing a certain group of people on the land? Now, you are preparing your people psychologically so that when your project kicks off they should not feel like they are killing human beings but rather rats/insects. Naomba majibu yanayoeleweka sio mabezo au matusi, kama huo ndiyo ukweli wenyewe sema tu
 
Hakuna binadamu mwenye akili ya panya Kahtaa, Kwanini umdhalilishe binadamu mwenzako kwa kiwango hicho. Hivi kweli kwenye kozi za humanity ulizosoma, ndivyo ulivyofundishwa? Au ndiyo mafundisho ya dini yako yanavyoelekeza? kama majibu ni ndiyo!!! basi kuna shida kubwa ktk jamii hiyp unayoishi wewe.

Historia inatuambia kuwa makatili wote waliopata kuishi katika uso wa nchi walitumia sana njia hiyo kuwadegrade felow human beings to insects like bugs, cockroaches and small animals like like rats. kumbuka lugha hiyo ilitumika sana kule Rwanda, Hitler aliitumia, Gadaffi aliitumia, kule Bosnia ilitumika. Sasa nakuuliza maswali: are you also in that group? or are you in a secret mission of cleasing a certain group on the land? and now you are preparing your people psychologically so that when your project starts they should not feel like they are killing human beings but rather rats/insects.

Teh teh teh!
Young man I deal with people they way they approach me!
If you want respect you got show one first!
I never grow up in the society where foo.ls n deserve respects!! Ever!

Some human being DO ACT LIKE ANIMAL! and thats the fact!
And if you treat them like human beings I guarantee you they will spat in your face!

Didn't you hear that old saying in the good book!

PROVERB 26.

Honoring a fo.ol is as fo.olish as tying a stone to a slingshot

and those words suppose to be a words of God!

So mine is still very sweet and humble.
 
Teh teh teh!
Young man
I deal with people they way they approach me!
If you want respect you got show one first!
I never grow up in the society where foo.ls n deserve respects!! Ever!

Some human being DO ACT LIKE ANIMAL! and thats the fact!
And if you treat them like human beings I guarantee you they will spat in your face!

Didn't you hear that old saying in the good book!

PROVERB 26.

Honoring a fo.ol is as fo.olish as tying a stone to a slingshot

and those words suppose to be a words of God!

So mine is still very sweet and humble.

Hujajibu maswali yangu nilikuuliza, jibu maswali, acha dharau.
 
Mnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika
kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco
jimboni California nchini Marekani.
Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye
umri wa miaka 35 akiwa amevalia suti yake
nadhifu alifunga ndoa na mbwa wake mwaminifu
aitwaye Mac.
Mchungaji aliyefungisha ndoa hiyo Father McHale
alionyesha kufurahishwa kwake na kitendo cha
yeye kufungisha ndoa hiyo ya kihistoria nchini
Marekani.
Kwa habari zaidi bofya hapa:
http://nationalreport.net/california...imal-
marriage/ haya wagalatia unadhanbndo wanaakili kwa halihii
 
Hujajibu maswali yangu nilikuuliza, jibu maswali, acha dharau.

Najaribu kujadili na wewe kwa nidhamu. Tafadhali usinikaripie kama mtoto mdogo!.
Unauliza kama nina secret mission.
Halafu unategemea nikujibu" ndio ninayo!? Au hapana sina?

Come on!

Huongei na mtoto hapa! Kama huna la ziada ishia hapa.

Mtu asie na adabu au nidhamu basi kamwe siwezi kumuwekea nidhamu!

Na hio ni basic principle ya any sound minded person.

If you dont like. Tough!
 
Hapo kwenye red.
Kwa hiyo na uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo. Na kuna watu wanakusifu kuwa umesoma!!! au umeamua makusudi kujitia wazimu. Hao wenye akili ndogo kama ya panya ndiyo akina nani? Hicho ulichoandika kina uhusiano gani na mada tajwa? Heshimu utu wa watu, usiwadegrade hadi kiwango cha panya labda kama una agenda zingine. Ila ni jambo jema ufahamu kuwa sasa umekua kama ulikuwa hujaambiwa mimi nakuambia kuwa umekua acha kuwaza kama mtoto mdogo, thamini watu. Binadamu anastahili kushimiwa utu wake, acha dharau Kahtaan!!!!
Mnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika
kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco
jimboni California nchini Marekani.
Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye
umri wa miaka 35 akiwa amevalia suti yake
nadhifu alifunga ndoa na mbwa wake mwaminifu
aitwaye Mac.
Mchungaji aliyefungisha ndoa hiyo Father McHale
alionyesha kufurahishwa kwake na kitendo cha
yeye kufungisha ndoa hiyo ya kihistoria nchini
Marekani.
Kwa habari zaidi bofya hapa:
http://nationalreport.net/california...imal-
marriage/ hawa wagalatia ndio hizo akilizao na viongoz wao
 
Hakuna binadamu mwenye akili ya panya Kahtaan!!!, Kwanini umdhalilishe binadamu mwenzako kwa kiwango hicho. Hivi kweli kwenye kozi za humanity ulizosoma, ndivyo ulivyofundishwa? Au ndiyo mafundisho ya dini yako yanavyokuelekeza? kama majibu ni ndiyo!!! basi kuna shida kubwa ktk jamii hiyp unayoishi wewe. Maana imekuwa too much, kila unapopost kebehi, bezo, dhihaka zinatawala dhidi ya kundi fulani la watu, kwako imekuwa kawaida hata pale mada haina mahusiano yoyote, wewe unashambulia kundi hilo kwanini? naomba unijibu maswali yangu machache yako hapa chini.

Historia inatuambia kuwa makatili wote waliopata kuishi katika uso wa nchi walitumia sana njia hiyo kuwadegrade fellow human beings to insects like bugs, cockroaches and to small animals like like rats. kumbuka lugha hiyo ilitumika sana kule Rwanda, Hitler aliitumia, Gadaffi aliitumia, kule Bosnia ilitumika. Sasa nakuuliza maswali: are you also in that group? or are you in a secret mission of cleasing a certain group of people on the land? Now, you are preparing your people psychologically so that when your project kicks off they should not feel like they are killing human beings but rather rats/insects. Naomba majibu yanayoeleweka sio mabezo au matusi, kama huo ndiyo ukweli wenyewe sema tu

Unasema hakuna watu wenye akili kama panya!
Hebu nipe comments zako kwa huyu mkristo aliamua KUOA MBWA!

help me out on this one. And if you have to decide between Humans society an RATS society where would you put this individual! ??

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=597245
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=597245
 
Kama 'wagalatia'' wakifanya hivyo itakuwa mbaya sana, kwani sisi wengine tumesoma kwenye taasisi za kielimu za 'wagalatia' tokea chekechea mpaka chuo kikuu na hatukuulizwa imani zetu wala kubaguliwa kabisa.

Tatizo kuu la MUM ni dhamira na malengo ya kuanzishwa kwake. Kwa tunaojua ilikuwa ni kwa ajili wa kuwaboost waislam tu ili wapate channel za kutoka kielimu na kimaisha, sasa ukiruhusu kila mtu asome pale mwisho wa siku utakuja kukuta wamejaa wagalatia watupu!!

MUM ni mfano tu ila zipo taasisi za kielimu nyingi sana za kiislam ambazo sera ni hiyo hiyo tu, yaani hakikisha Muislam tu anasoma, hakuna kufeli na staff wote wa hizo taasisi ni lazima wawe waislam tu!!

Mimi ni mfuasi wa huko lakini hili linaniudhi sana.

mkuu heshima yako! Umenena vyema kwa mtizamo wangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom