Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.
MUM ni kama hakipo! cHUO HAKINA HATA WANAFUNZI 200! wenyewe hawakitaki hata kukisikia.... TANESCO warudishiwe majengo yao wafanye yao.....
 
ni kitu gani kitafanywa na waislm nyie wagalatia mkiridhie? Mbna mnakuwa na husda kiasi hichi,,mnavyuo kibao,lakini hichi kimoja cha waislam kinawanyiama usingizi ,kweli kafiri ni adui wa muislam.
 
MUM ni kama hakipo! cHUO HAKINA HATA WANAFUNZI 200! wenyewe hawakitaki hata kukisikia.... TANESCO warudishiwe majengo yao wafanye yao.....

Sikushangai sana maana uongo ni nguzo ya mafundisho ya dini yako!
 
Najaribu kujadili na wewe kwa nidhamu. Tafadhali usinikaripie kama mtoto mdogo!.
Unauliza kama nina secret mission.
Halafu unategemea nikujibu" ndio ninayo!? Au hapana sina?

Come on!

Huongei na mtoto hapa! Kama huna la ziada ishia hapa.

Mtu asie na adabu au nidhamu basi kamwe siwezi kumuwekea nidhamu!

Na hio ni basic principle ya any sound minded person.

If you dont like. Tough!
najua kuwa wewe sio mtoto, na ndiyo maana katika post yangu ya awali nilikuambia kuwa huna sababu ya kumdegrade binadamu mwenzako kwa kiwango cha mdudu au mnyama. Jiheshimu
 
Mnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika
kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco
jimboni California nchini Marekani.
Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye
umri wa miaka 35 akiwa amevalia suti yake
nadhifu alifunga ndoa na mbwa wake mwaminifu
aitwaye Mac.
Mchungaji aliyefungisha ndoa hiyo Father McHale
alionyesha kufurahishwa kwake na kitendo cha
yeye kufungisha ndoa hiyo ya kihistoria nchini
Marekani.
Kwa habari zaidi bofya hapa:
http://nationalreport.net/california...imal-
marriage/ hawa wagalatia ndio hizo akilizao na viongoz wao
Mfano huo uliotoa una uhusiano gani na Watz?. Daima nimekuwa nikiuliza kwanini umtukane Mtz mwenzako bila kosa? niliowauliza hilo swali walishindwa kulijibu, je, wewe waweza saidia kujibu?
 
Najaribu kujadili na wewe kwa nidhamu. Tafadhali usinikaripie kama mtoto mdogo!.
Unauliza kama nina secret mission.
Halafu unategemea nikujibu" ndio ninayo!? Au hapana sina?

Come on!

Huongei na mtoto hapa! Kama huna la ziada ishia hapa.

Mtu asie na adabu au nidhamu basi kamwe siwezi kumuwekea nidhamu!

Na hio ni basic principle ya any sound minded person.

If you dont like. Tough!
Sijakukaripia, nimekwambia hivyo kwa sababu ya kicheko chako cha dharau ktk post yako. Jibu swali kwann uwadegrade WaTZ wenzako, Je, sababu ni tofauti za imani tu? Kwa mifano uliyotoa ktk posts tangulizi zinauhusiano gani na Watz? ndiyo maana nikauliza do you have a secret mission to fulfill? Acha dharau
 
najua kuwa wewe sio mtoto, na ndiyo maana katika post yangu ya awali nilikuambia kuwa huna sababu ya kumdegrade binadamu mwenzako kwa kiwango cha mdudu au mnyama. Jiheshimu

Nimekupa mfano hai. Na nimekupa sababu zangu kwanini nikatumia kauli nilizo tumia!

Nadhani wewe na mimi hatuwezi kuwa bora kuliko manabii na mitume and more over Mungu muumba pia ametumia majina na sifa ktk kutanabahisha makundi ya watu!

Uki act kama mnyama UTAITWA MNYAMA! na uki act kama mdudu UATAITWA MDUDU .simple!

Najaribu kukuelekeza lkn nakuona ni mgumu saana wa kuelewa. Au aidha unataka tupoteze muda hapa kujadili kisicho na faida.

This is the last time I will tell you.

Stay out of my business. Me siko hapa kumkejeli mtu.

Kama kuna watu nimewapa cheo cha akili kama panya basi ujue AKILI ZAO HATA HAO PANYA WANA AFADHALI.

Kuna watu MUNGU amewaita mfano ni kama WANYAMA!
Kutokana na tabia zao.

Na huyo ndie aliye tuumba!
Sasa kipi.kinachokushangaza mimi nikitumia mifano hio??

Keep off me before you regret!

I have some lessons to teach.
 
mkuu heshima yako! Umenena vyema kwa mtizamo wangu.
Sawa Giti, Hivi kwanini usitoe taarifa kwenye taasisi ya Uhamiaji ili iwashughulikie hao wagalatia waliovamia taifa letu? Nimekuuliza kwa sababu umeunga mkono hoja ya ASP. Lakini kama ni WaTZ, basi tuna safari ndefu kufikia ukombozi kamili wa kiakili, tusiitane majina ya kubezana, sisi sote ni Watz na wala usiigeuze imani yako iwe kwenye kundi maalum hapa TZ
 
wanajua wapo busy sana na ilm ahera sasa Kufikisha marks za kikafiri ni ngumu na hivyo itakuwa km kuwabaniaa waumini kupita ktk madarasa. Hii ni loophole ya kufungulia utitiri wa waislam kpata vyeti kwa muda huu...ni km kutaka baraza la mitihani kufutwa au kumilikiwa na misikiti.
 
Nimekupa mfano hai. Na nimekupa sababu zangu kwanini nikatumia kauli nilizo tumia!

Nadhani wewe na mimi hatuwezi kuwa bora kuliko manabii na mitume and more over Mungu muumba pia ametumia majina na sifa ktk kutanabahisha makundi ya watu!

Uki act kama mnyama UTAITWA MNYAMA! na uki act kama mdudu UATAITWA MDUDU .simple!

Najaribu kukuelekeza lkn nakuona ni mgumu saana wa kuelewa. Au aidha unataka tupoteze muda hapa kujadili kisicho na faida.

This is the last time I will tell you.

Stay out of my business. Me siko hapa kumkejeli mtu.

Kama kuna watu nimewapa cheo cha akili kama panya basi ujue AKILI ZAO HATA HAO PANYA WANA AFADHALI.

Kuna watu MUNGU amewaita mfano ni kama WANYAMA!
Kutokana na tabia zao.

Na huyo ndie aliye tuumba!
Sasa kipi.kinachokushangaza mimi nikitumia mifano hio??

Keep off me before you regret!

I have some lessons to teach.
Mifano uliyotoa haina uhusiano wowote na TANZANIA YETU. Kumbuka unapotioa mifano ni muhimu iwe hai sio mfu, mifano uliyotoa kwa Tanzania ni mifano mfu. Mnyama ukimpa chakula haulizi kwa sababu anatumia silika, Mimi na wewe tunatumia utashi, make us of that power, unadhani Mungu alifanya makosa kukutofautisha wewe na mnyama, please behave as a human being and not as an animal. Eti Mungu ametumia hayo majina!!!! ebo huoni hata haya,Kwani wewe ni Mungu? hao uliokuwa unaowarifaa did they deserve that judgement, ukisema ndiyo, Je, wewe ni Mungu mpaka utoe hukumu za ajabu ajabu kama hizo.

Moja ya weakness zako kubwa ni kutotumia uwezo uliopewa na Mungu wa kuumba, ila ukitulia kidogo ukatafakari ukuu wa Mungu. Tumia akili alizokupa Mungu kupambanua mambo sio kuwatukana Watz wenzako.

I will not regret by chatting with you. Labda uanze kunitukana, hapo tutatofautiana maana naamini kwa hilo utavunja PC yako hapo ofisini. Ila fahamu kuwa mimi sio mgumu kuelewa, naelewa vizuri sana. Hata wewe naweza kukufundisha jambo na ukaelewa bila kutumia lugha za kubezana.
Kazi njema,
Unafundisha somo gani,
na wanafunzi wa level ipi,
Kahtaan?
 
chuo kinapo select wanafunzi majina hutunwa TCU kwa ajili ya prooffing.
mkuu na msomi wa MUM "prooffing" ina maana gani?.i have googled it 10 times and never found its meaning. hutunwa=hutumwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom