Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.
Kwani sifa zakujiunga na chuo hiki ni zipi haswa?mimi 4m six nina dvs IV ya 18,na diploma(education) nina 2.6 je naweza kujiunga na chuo hiki au chuo kikuu kingine hapa tz?
 
mum hakuna kozi itolewayo before kuanza kusoma degree ....
Sababu ya kutojiunga na tcu ni kukifanya chuo kiwasaidie waislam wengi ambao wananyimwa fursa kimaksudi na vyuo vya umma .....

Mimi ni graduate wa mum... So nina ongea kitu nikijuacho

Mnanyimwa au hamna vigezo.....yani watu hamjiamini kwanini.???? Mnataka ht km mnafeli mchukuliwe tu eti sababu ni waislamu.... CAS ni mfumo wa computer. ...kwahiyo hiyo computer inachagua cut off point kulingana na dini....
 
Kwani sifa zakujiunga na chuo hiki ni zipi haswa?mimi 4m six nina dvs IV ya 18,na diploma(education) nina 2.6 je naweza kujiunga na chuo hiki au chuo kikuu kingine hapa tz?

Km ni muislamu nenda lkn km sio usikanyage....kasheshe utaipata kwenye ajira....mwenzio ana division 2 na degree yake.. wewe una div 4 na degree yako ya gpa ya 4 atachukuliwa nani sijui....maana inaonyesha dhahiri umebebwa kuingia chuoni
 
Sasa Zanzibar-Asp, wakristo wakifanya hivyo kwamba waislamu wasisome kwenye vyuo vyao itakuwaje mkuu? Unataka kusema waislamu ni wabaguzi?
 
Nashkuru mkuu,ila je kwa vyuo vingine sipati?
 
sasa umejuaje kama siyo kweli?wewe ulikuwa unajua kama chuo cha kiislamu morogoro walikataa kuingia kwenye mfumo wa TCU?NA kama hujui unapataje nguvu za kusema ni uongo?ama kila kitu ni kutetea tu kama dini hata kama ni makosa?hii siyo mistari ya maandiko matakatifu.

mtu huelewi lolote alafu unakimbilia kukataa na kusema kuwa ni uongo.nadhani hunifahamu vizuri katika mijadala humu maana huwa sisemi mambo nisiyoyajua,huwa sisemi jambo kama halipo na huwa siongezi chumwi na huwa siongopi,nimeshiriki mijadala mingi sana humu ndani yenye hoja nzito lakini kamwe huwa sitii chumvi.

wakati chuo hiki wanakataa kuingia TCU walitoa taarifa na hazikuwa siri na hizi ndizo sababu walizotoa kama chuo.

wakati naandika maelezo haya najua fika kuwa kuna wanafunzi wamesoma pale,wapo wakufunzi wa pale na hata viongozi wa chuo wapo,na hata wakija hapa hawawezi kukanusha maelezo yangu kwa sababu ndio wao walitoa.

tatizo watu wengi ni wavivu wa kufatilia mambo na habari mbalimbali alafu hao hao wanajitia kujua kupita kiasi huku pengine hawajui kabisa,na kama sikosei swala hili lilitokea kati ya 2010 ama 2011.

WATU WALIOKUWEPO PALE CHUONI NAWANGOJEA WAJE HUMU NA HATA WAKUFUNZI WAKANUSHE KAMA SI KWELI.
lakini siwezi kuendelea kubishana na mtu anaengozwa na hisia sijui za nini.

Mwaga data mkuu mimi nachukiaga sana kupambana na mfumo islam ambao unaamini katika kuaminishwa sio katika facts!!unaamini katika propaganda na sio facts!!tupambane hadi waelewe kwamba kuna elimu dunia na elimu ya dini na hivi vyote lazima tuende sambamba. Mimi kila siku nawaambia shule zao zinaongoza kwa sifuri kwa sababu ya kubebana na wao hawajibu kwa hoja bali ni kutukana!!!
 
mum hakuna kozi itolewayo before kuanza kusoma degree ....
Sababu ya kutojiunga na tcu ni kukifanya chuo kiwasaidie waislam wengi ambao wananyimwa fursa kimaksudi na vyuo vya umma .....

Mimi ni graduate wa mum... So nina ongea kitu nikijuacho

hahahahahahahahaha!!!! hakika wewe utaenda akhera na kupata mabinti wa kutosha wazuri wenye macho ya duara kwa kuwa mkweli. Yaani kuweka alama fulani za ufaulu ni kuwanyima haki waislam!!ndio maana lazima tuweke alama za kwetu (za kiislam) ambazo ni za chini ili waislam wengi wasionewe MAANA WANA AKILI NDOGO KULINGANISHA NA AKILI KUBWA ZA WAKRISTO!! Thanks sana graduate wa MUM!
 
Sasa Zanzibar-Asp, wakristo wakifanya hivyo kwamba waislamu wasisome kwenye vyuo vyao itakuwaje mkuu? Unataka kusema waislamu ni wabaguzi?
Kama 'wagalatia'' wakifanya hivyo itakuwa mbaya sana, kwani sisi wengine tumesoma kwenye taasisi za kielimu za 'wagalatia' tokea chekechea mpaka chuo kikuu na hatukuulizwa imani zetu wala kubaguliwa kabisa.

Tatizo kuu la MUM ni dhamira na malengo ya kuanzishwa kwake. Kwa tunaojua ilikuwa ni kwa ajili wa kuwaboost waislam tu ili wapate channel za kutoka kielimu na kimaisha, sasa ukiruhusu kila mtu asome pale mwisho wa siku utakuja kukuta wamejaa wagalatia watupu!!

MUM ni mfano tu ila zipo taasisi za kielimu nyingi sana za kiislam ambazo sera ni hiyo hiyo tu, yaani hakikisha Muislam tu anasoma, hakuna kufeli na staff wote wa hizo taasisi ni lazima wawe waislam tu!!

Mimi ni mfuasi wa huko lakini hili linaniudhi sana.
 
Nikiiona Avatar yako nilijua inaendana na akili yako!!
Your arument is deemed fallacious, so siwezi kukujibu lolote!

Acheni choko choko nyie, kwahiyo TCU wanavyosimamia St.Augustine wanasimamia kanisa?

SAUT na MUM ni vitu viwili tofauti. Jifunze kutofautisha kati ya University na Glorified High school. The former is the University and the latter is the Gloried Madras!!!!
 
Ndugu yangu Zanzibar-ASP umezungumza ukweli mtupu lakini ni vyema ungechukua hatua, maana waislamu wengi hawataki kuona Kama kuna tatizo ktk system Yao ya elimu, ni waislamu wachache sana ambao wanaona kuna tatizo ila kinachonishangaza hamsemi! Na kwa kukosa kuzungumzia matatizo hayo mnasababisha walio wengi kuona kuna uonevu na hii ni hatari mkuu.
 
Sababu ziko wazi sana ila haziwezi kuwekwa wazi sana.
Nyinyi mnataka 'wagalatia' wajae pale MUM?

Nona kuna ukweli wakitumia TCU wagalatia watajaa pale maana mtandao hautumii kigezo cha dini unaselect randomly ,pale kwa sasa naamini zaidi ya asilimia 95 ni waislam
 
Kama 'wagalatia'' wakifanya hivyo itakuwa mbaya sana, kwani sisi wengine tumesoma kwenye taasisi za kielimu za 'wagalatia' tokea chekechea mpaka chuo kikuu na hatukuulizwa imani zetu wala kubaguliwa kabisa.

Tatizo kuu la MUM ni dhamira na malengo ya kuanzishwa kwake. Kwa tunaojua ilikuwa ni kwa ajili wa kuwaboost waislam tu ili wapate channel za kutoka kielimu na kimaisha, sasa ukiruhusu kila mtu asome pale mwisho wa siku utakuja kukuta wamejaa wagalatia watupu!!

MUM ni mfano tu ila zipo taasisi za kielimu nyingi sana za kiislam ambazo sera ni hiyo hiyo tu, yaani hakikisha Muislam tu anasoma, hakuna kufeli na staff wote wa hizo taasisi ni lazima wawe waislam tu!!

Mimi ni mfuasi wa huko lakini hili linaniudhi sana.

Jamani mwenye taarifa tofauti na hili aje na ushahidi specifically kwa MUM
 
Acheni choko choko nyie, kwahiyo TCU wanavyosimamia St.Augustine wanasimamia kanisa?

hoja zinazo husu harakati za EL kuelekea 2015 hamtii mguu buku 7.mnaishia kupotezana direction.pass this to your fellow buku 7 Simiyu Yetu
 
Last edited by a moderator:
Kama 'wagalatia'' wakifanya hivyo itakuwa mbaya sana, kwani sisi wengine tumesoma kwenye taasisi za kielimu za 'wagalatia' tokea chekechea mpaka chuo kikuu na hatukuulizwa imani zetu wala kubaguliwa kabisa.

Tatizo kuu la MUM ni dhamira na malengo ya kuanzishwa kwake. Kwa tunaojua ilikuwa ni kwa ajili wa kuwaboost waislam tu ili wapate channel za kutoka kielimu na kimaisha, sasa ukiruhusu kila mtu asome pale mwisho wa siku utakuja kukuta wamejaa wagalatia watupu!!

MUM ni mfano tu ila zipo taasisi za kielimu nyingi sana za kiislam ambazo sera ni hiyo hiyo tu, yaani hakikisha Muislam tu anasoma, hakuna kufeli na staff wote wa hizo taasisi ni lazima wawe waislam tu!!

Mimi ni mfuasi wa huko lakini hili linaniudhi sana.

Hujitambui
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom