mum hakuna kozi itolewayo before kuanza kusoma degree ....
Sababu ya kutojiunga na tcu ni kukifanya chuo kiwasaidie waislam wengi ambao wananyimwa fursa kimaksudi na vyuo vya umma .....
Mimi ni graduate wa mum... So nina ongea kitu nikijuacho
Kwani sifa zakujiunga na chuo hiki ni zipi haswa?mimi 4m six nina dvs IV ya 18,na diploma(education) nina 2.6 je naweza kujiunga na chuo hiki au chuo kikuu kingine hapa tz?
Km ni muislamu nenda lkn km sio usikanyage....kasheshe utaipata kwenye ajira....mwenzio ana division 2 na degree yake.. wewe una div 4 na degree yako ya gpa ya 4 atachukuliwa nani sijui....maana inaonyesha dhahiri umebebwa kuingia chuoni
sasa umejuaje kama siyo kweli?wewe ulikuwa unajua kama chuo cha kiislamu morogoro walikataa kuingia kwenye mfumo wa TCU?NA kama hujui unapataje nguvu za kusema ni uongo?ama kila kitu ni kutetea tu kama dini hata kama ni makosa?hii siyo mistari ya maandiko matakatifu.
mtu huelewi lolote alafu unakimbilia kukataa na kusema kuwa ni uongo.nadhani hunifahamu vizuri katika mijadala humu maana huwa sisemi mambo nisiyoyajua,huwa sisemi jambo kama halipo na huwa siongezi chumwi na huwa siongopi,nimeshiriki mijadala mingi sana humu ndani yenye hoja nzito lakini kamwe huwa sitii chumvi.
wakati chuo hiki wanakataa kuingia TCU walitoa taarifa na hazikuwa siri na hizi ndizo sababu walizotoa kama chuo.
wakati naandika maelezo haya najua fika kuwa kuna wanafunzi wamesoma pale,wapo wakufunzi wa pale na hata viongozi wa chuo wapo,na hata wakija hapa hawawezi kukanusha maelezo yangu kwa sababu ndio wao walitoa.
tatizo watu wengi ni wavivu wa kufatilia mambo na habari mbalimbali alafu hao hao wanajitia kujua kupita kiasi huku pengine hawajui kabisa,na kama sikosei swala hili lilitokea kati ya 2010 ama 2011.
WATU WALIOKUWEPO PALE CHUONI NAWANGOJEA WAJE HUMU NA HATA WAKUFUNZI WAKANUSHE KAMA SI KWELI.
lakini siwezi kuendelea kubishana na mtu anaengozwa na hisia sijui za nini.
mum hakuna kozi itolewayo before kuanza kusoma degree ....
Sababu ya kutojiunga na tcu ni kukifanya chuo kiwasaidie waislam wengi ambao wananyimwa fursa kimaksudi na vyuo vya umma .....
Mimi ni graduate wa mum... So nina ongea kitu nikijuacho
Kama 'wagalatia'' wakifanya hivyo itakuwa mbaya sana, kwani sisi wengine tumesoma kwenye taasisi za kielimu za 'wagalatia' tokea chekechea mpaka chuo kikuu na hatukuulizwa imani zetu wala kubaguliwa kabisa.Sasa Zanzibar-Asp, wakristo wakifanya hivyo kwamba waislamu wasisome kwenye vyuo vyao itakuwaje mkuu? Unataka kusema waislamu ni wabaguzi?
acha uongo
Mnawaonea TCU jamani, mnataka waanze kusimamia na madras?
Your arument is deemed fallacious, so siwezi kukujibu lolote!Nikiiona Avatar yako nilijua inaendana na akili yako!!
Acheni choko choko nyie, kwahiyo TCU wanavyosimamia St.Augustine wanasimamia kanisa?
Sababu ziko wazi sana ila haziwezi kuwekwa wazi sana.
Nyinyi mnataka 'wagalatia' wajae pale MUM?
Kama 'wagalatia'' wakifanya hivyo itakuwa mbaya sana, kwani sisi wengine tumesoma kwenye taasisi za kielimu za 'wagalatia' tokea chekechea mpaka chuo kikuu na hatukuulizwa imani zetu wala kubaguliwa kabisa.
Tatizo kuu la MUM ni dhamira na malengo ya kuanzishwa kwake. Kwa tunaojua ilikuwa ni kwa ajili wa kuwaboost waislam tu ili wapate channel za kutoka kielimu na kimaisha, sasa ukiruhusu kila mtu asome pale mwisho wa siku utakuja kukuta wamejaa wagalatia watupu!!
MUM ni mfano tu ila zipo taasisi za kielimu nyingi sana za kiislam ambazo sera ni hiyo hiyo tu, yaani hakikisha Muislam tu anasoma, hakuna kufeli na staff wote wa hizo taasisi ni lazima wawe waislam tu!!
Mimi ni mfuasi wa huko lakini hili linaniudhi sana.
marginalization- mfumo kristo
Acheni choko choko nyie, kwahiyo TCU wanavyosimamia St.Augustine wanasimamia kanisa?
lmao.i knew u will be rushing into that excuse. marginalization- mfumo kristo unaingiaje ktk vyuo vya umma?