Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
1*KUHUSU UONGO WA MAELEZO YA
MKUU WA CHUO...
____________________
mkuu i was there 2007/2010...kipindi hicho
system ya CAS inakuwa introduced miaka ya
2009/2010 kama sikosei ..i've heard several
speeches myself (eye witness)...could you be
kind enough utuwekee hayo maelezo ya
huyo unayemwita mkuu wa chuo?? (frankly
speaking hii issue ilitolewa maelezo na dvc-
prof njozi)
2.KUHUSU FAIR NO OF MUSLIM STDS
________________
rejea majibu yangu no:1....ndugu yangu
tuwe wakweli una mtoto wa ndugu yako wa
damu na mtoto wa mtu baki..unauwezo wa
kumsaidia mmoja tu utamchukua yupi?
(NIJIBU)..na wote wana vigezo sawa...
ukiweza kubeba watatu ..wawili itakuwa
ndugu mmoja wa mtu baki....
SO HILI SUALA LA KUDAHILI HILI LIKO
WAZI (I WAS THERE AS AN EYE WITNESS)
3.KUHUSU KUDAHILI WATU WA DINI MOJA
ZAIDI
_______________
sheria ya vyuo vikuu Tanzania ni lazma
udahili watu wa dini/imani zote...
ILA HAPA KUNA KITU KINAITWA RATIO/
UWIANO ....let say katika 10 ratio itakuwa
7:3
HUWEZI KUKATAA VYUO VYOTR
VINAVYOMILIKIWA NA MADHEHEBU YA
DINI havidahili in a definite same ratio...si
tumaini..saut..teku..st.john.. etc ingawa tcu-
cas lakini bado ratio ya christians na muslims
haiko balanced.....let the fact speak for
themselves
4.HAKUNA PRE ENTRY
__________________
nipestie news source please.... I CAN
ASSURE YOU ITS A BIG LIE DUDE.. and im
ready to be held accountable...i was there
meeeeen n still keeping tab on what going
on over there
5..KUHUSU MUM KUTOKUWA CAS
______________
wewe mwenyewe umetoa sababu kuwa
SUZA wazenji walichachamaa mwaka ambao
walikosa udahili wa wasomi wao vyuo vya
serikali/bara....(sina uhakika na hii sababu uliyoitoa hapo juu)
MUM ina sababu zake naomba upitie tena
comment zangu za mwanzo utaona chache
nimeziweka...
SABABU HAZIFANANI...ndugu yangu
chuo chenyewe ni kimoja tuuuu in the whole
big country like tz whereby vya mashehebu
mengine viko zaidi ya ishirini.... HAVE FAITH
KIDOGOOOOO... nyumba yako inapokea
watu mia moja ukabeba ndugu 80 watu baki
20 mwenzio kanyumba kake kadogo cha
watu ishirini naye kachukua ndugu 15 watu
baki 5.....
________________
NAHESHIMU COMMENTS ZAKO NDUGU
YANGU Mshinga ....thanks for some
complements u gave me lastly..i realy
appreciate...
thanks.
sitaweza kukujibu kwa ujumla maana huwa sipendi kujibu kwa kuruka ama kukwepa baadhi ya hoja,napenda kila sentesi yako ipate majibu ili mjadala uwee mzuri.
nikipata muda nitakuja kukujibu kwa haya maelezo yako kwa ukamilifu wake na kila sentensi ama kila hoja itapata majibu.