chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Najua serikali inajua kwamba TLS wanaenda kufanya kazi ya uchochezi Ngorongoro, hivyo haitawaruhusu. Nshala ni mwanachadema kindakindaki
Dk. Nshala na Lissu walikuwa viongozi wa LEAT-Lawyers Environmental Action Team. Baadae walikula hela za taasisi kisha wakaiua. Taasisi hii ilitelekeza mali zake sehemu mbali mbali pamoja na samani za ofisi katika jengo la Nyanza Mwanza.
Sasa naina Mwabukusi ndio kamuweka akitarajia apate ushirikiano wa serikali, abadani, hataupata
Je, Mwabukusi anatumia vigezo gani kuwateua mawakili ambao ni rafiki zake wafanye kazi hizo, wanalipwa shilingi ngapi za TLS? Kwa nini kesi zinafungukiwa kwa fujo sasa hivi kama si mbinu za ulaji wa fedha za TLS