Kwa nini Mwabukusi amemteua swahiba wa Lissu, na hasimu wa serikali, Dk. Nshala afuatilie suala la Ngorongoro?

Mbona mkuu wa mkoa fulani, nchi fulani, alitoka ukatibu mkuu wa chama fulani, akitajwa kuwa na kashfa akajiuzuru mwenyewe kisha mpaka sasa ni mkuu. Uliwahi kuhoji kwa nn mkuu wake kamteua?
 
Wewe ni mpumbavu sana
 
Kwani Kuna shida wapiiii? Tindu lissu na Dr. Nshala kuwa miongoni mwa watu wanaofuatilia ngorongoro...lisssu hajaanza Leo kufuatilia issue ya ngorongor
 
Kwani Kuna shida wapiiii? Tindu lissu na Dr. Nshala kuwa miongoni mwa watu wanaofuatilia ngorongoro...lisssu hajaanza Leo kufuatilia issue ya ngorongor
Wanatumika
 
Watu wajibizane kwa hoja zenye mantiki badala ya kufikiria vyama.
Kweli ni kweli tu bila kujali inatoka CCM, Chadema, ACT,.....
Tunatakiwa kufundisha watoto na jamii nzima kuangalia mantiki kwenye hoja halafu vyama vifuate.
Watu au vyama vyenye hoja za kipuuzi visipewe nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…