Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya Iko kwenye ngozi yetu hakuna watu wanafiki kama.sisi black,kila.mtu anataka kwake sio kwa wote.Mwafrika hata awe America, Ulaya, Australia, Asia, Caribbean hana mchango wowote zaidi ya uharibifu.
Watu weusi tuna upumbavu wa milele.
Mtu mweusi ndio anaongoza kwa kuteseka hapa duniani.
Na hii yote ni kwa sababu ya kusalitiana sisi kwa sisi.
Hata wakati wa utumwa na ukoloni, Machief waliwasaliti watu wao na kuwauza kwa wazungu wakidanganywa kwa vizawadi uchwara.
Ujinga wa watu weusi upo tangu enzi na enzi.
Walitakiwa wawekeze kwenye nguvu kazi kama waxhina,Tz yetu unapiga kazi unabanwa kwenye matokeo.South Africa inakwenda kuwa Zimbabwe very soon, stay tune!
Shida siyo kwamba tunachagua viongozi wasio waadilifu, shida ni kwamba viongozi wasio waadilifu wanafanya kila linalowezekana kuendelea kufanya ufisadi.Kwa muda mfupi, ulimwengu ulitumaini. Ubaguzi wa rangi ulikuwa umekwisha. Afrika Kusini ilikuwa huru. Historia ndefu ya nchi hiyo ilijikita katika mifumo miwili iliyoshindana—moja ya wazungu waliokuwa wakimiliki utajiri wa taifa na kuishi maisha ya kiwango cha Ulaya, na nyingine ya weusi waliotengwa, kufukarishwa, na kunyimwa nafasi ya kujinufaisha na rasilimali zao wenyewe. Lakini sasa, Mandela alikua rais, na kwa mara ya kwanza, Afrika ilionekana kuwa na mfano wa ndoto ya kufanikisha maendeleo yake.
Lakini leo, miaka kadhaa baadaye, matumaini hayo yamegeuka kuwa jinamizi. Miaka ya ufisadi, uongozi mbovu, na kushindwa kwa serikali imesababisha taifa lililojaa ahadi kuanguka vibaya. Afrika Kusini sasa ni kielelezo cha kuporomoka kwa mataifa ya Kiafrika yenye maliasili nyingi lakini yasiyo na mwanga wa maendeleo. Hali ni mbaya sana kiasi kwamba maswali mazito yanapaswa kuulizwa: Kwa nini Mwafrika hana maajabu katika mabara yote anayoenda? Kwa nini tunazidi kuwa laana kwa ardhi yetu wenyewe?
Afrika Kusini: Kisa na Maangamizi
Baada ya apartheid, matumaini yalikuwa Afrika Kusini ingetoka katika kivuli cha ubaguzi wa rangi na kujenga taifa lenye uchumi imara, lenye nafasi sawa kwa wote. Lakini miaka imepita, na hali imeendelea kudidimia. Hivi leo, taifa hilo linakabiliwa na ukosefu wa umeme wa mara kwa mara, ongezeko la uhalifu, kuporomoka kwa miundombinu, na uongozi wa kifisadi unaokula kila fursa ya ustawi.
Tangu mwaka wa 2007, hitilafu za umeme zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Shirika la umeme, ambalo lilikuwa fahari ya taifa, limegeuka kuwa mzigo mkubwa kwa wananchi. Kwa miongo kadhaa, lilikuwa na mfumo wa usambazaji wa nishati imara, hata likiuza umeme kwa mataifa jirani. Lakini leo, shirika hilo limekuwa ishara ya kushindwa kwa serikali. Kila mwezi, hutolewa ratiba mpya za mgawo wa umeme, na maisha ya raia wa kawaida yamegeuka kuwa giza la kweli—si tu kwa maana halisi, bali pia kwa maana ya matarajio yaliyoshindwa.
Kwa nini hili lilitokea? Ni hadithi ya ujinga wa uongozi wa Afrika. Tangu mwaka wa 1998, serikali ilipewa tahadhari kuwa ikiwa hatua hazitachukuliwa, ifikapo mwaka wa 2007, mfumo wa usambazaji wa umeme ungeanza kuporomoka. Lakini hakuchukuliwa hatua zozote. Hakuna uwekezaji mpya uliowekwa kwenye mitambo, hakuna mikakati ya kuhakikisha uzalishaji unakidhi mahitaji ya taifa. Na kama ilivyotabiriwa, hali ilianza kudorora.
Matatizo yalipoanza, serikali haikufanya juhudi za dhati kurekebisha hali. Badala yake, ilianza kushughulika na masuala yasiyo ya msingi, huku mambo muhimu yakipuuzwa. Sheria ziliwekwa kujaribu kuhimiza ushindani katika sekta ya nishati, lakini hakukuwa na wawekezaji wa kuingia sokoni. Shirika la umeme lilipigwa marufuku kujenga mitambo mipya ya kuzalisha umeme, likiachwa bila njia za kujiongezea uwezo. Wakati hatimaye marufuku hiyo ilipoondolewa, tayari uharibifu ulikuwa umeshatokea.
Miaka ilivyopita, matatizo ya shirika la umeme yalizidi kuongezeka. Mitambo ya zamani, ambayo ilihitaji matengenezo makubwa, iliachwa ikiharibika bila kufanyiwa ukarabati wa maana. Makaa ya mawe yaliyotegemewa kama chanzo kikuu cha nishati hayakuwa yanapatikana kwa uhakika, na hata pale yalipopatikana, usimamizi mbovu ulifanya viwanda vya kuzalisha umeme kushindwa kufanya kazi ipasavyo. Kulikuwa na uhaba wa mafuta, migomo ya wafanyakazi, na hata tuhuma za hujuma ndani ya shirika lenyewe.
Mwisho wa yote, shirika la umeme likawa kama shimo la kuzama. Ufisadi ukatawala ndani yake, huku viongozi wa serikali wakichukua hongo na kufanya maamuzi mabovu kwa maslahi yao binafsi. Ripoti zilibaini kuwa kila mwezi, zaidi ya randi bilioni moja (zaidi ya dola milioni 50) zilikuwa zinaibwa kutoka shirika hilo. Na wakati mmoja, hata Mkurugenzi Mtendaji wake alinusurika kuuawa kwa sumu baada ya kufichua uozo huo.
Shirika la Umeme ni Kielelezo cha Kuanguka kwa Afrika Kusini
Tatizo la umeme ni sehemu tu ya tatizo pana zaidi. Miundombinu mingine ya umma nayo iko katika hali mbaya. Mifumo ya maji, ambayo ilipaswa kuboresha maisha ya watu, imeporomoka kiasi kwamba janga la kipindupindu limesababisha vifo katika maeneo mbalimbali ya nchi. Reli za taifa, ambazo zilikuwa mhimili wa uchumi wa viwanda, sasa zinapunguza kiwango cha mizigo kinachosafirishwa kwa 25% chini ya kiwango cha mwaka 2015.
Katika sekta ya usafiri wa anga, Shirika la Ndege la Afrika Kusini liliporomoka kabisa mwaka wa 2020. Lilirudi kwa nguvu mpya kwa msaada wa fedha za wawekezaji binafsi, lakini sasa ni kivuli tu cha shirika lenye nguvu lililokuwa fahari ya taifa.
Mambo haya yote yana athari kubwa kwa uchumi wa nchi. Kabla ya matatizo haya kuanza, Afrika Kusini ilikuwa na matarajio ya kuwa mfano wa maendeleo barani Afrika, ikitarajiwa kukua kwa wastani wa 6% kwa mwaka. Lakini tangu tatizo la umeme lilipoanza, uchumi umedorora, huku ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) ukishuka hadi kiwango cha 4% mara moja tu katika kipindi cha zaidi ya miaka 15.
Kwa sababu ya matatizo haya yote, wananchi wamekata tamaa na serikali yao. Ndoto ya taifa lenye maendeleo, ambalo lingeweza kushindana na mataifa ya Magharibi, sasa ni hadithi tu ya zamani.
Mwafrika Ataamka Lini?
Afrika Kusini siyo nchi pekee ya Kiafrika inayokumbwa na matatizo haya. Karibu kila nchi barani Afrika imekumbwa na historia inayofanana: maliasili nyingi, matumaini makubwa baada ya uhuru, lakini hatimaye kushindwa kutokana na uongozi mbovu, ufisadi, na ukosefu wa maono.
Swali kuu linabaki: Kwa nini Mwafrika hana maajabu? Tunapokwenda mabara mengine, tunajulikana kwa kufanya kazi za vibarua, kwa kutafuta hifadhi ya kisiasa, au kwa kuomba misaada. Wengine wameweza kujenga mataifa yenye nguvu—Wachina waligeuza jangwa kuwa miji ya kisasa, Waarabu wa Ghuba walijenga falme za kifahari kutoka kwenye mchanga wa jangwa, lakini Mwafrika anaendelea kuzama katika lindi la umasikini.
Tatizo siyo wazungu, siyo ukoloni, siyo mabeberu. Tatizo ni sisi wenyewe. Tunakataa kujifunza kutoka kwa makosa yetu. Tunakataa kuchagua viongozi waadilifu. Tunakubali maisha ya mateso na giza kana kwamba ni hatima yetu.
Ikiwa hatutaamka sasa, basi Afrika itaendelea kuwa bara la ndoto zilizokufa, na sisi tutaendelea kuwa watu wasio na maajabu mahali popote duniani.
Hao wazungu anaowatetea wanasema Africa inabidi itawaliwe tenaMkuu unajaribu kututetea waafrica ila ukifuatilia zaidi utaona haifai hata kututetea.
Nawaunga mkono wazungu mkuuHao wazungu anaowatetea wanasema Africa inabidi itawaliwe tena
Huyu Alifanya Nini?Ndio maana Chizi Maarifa anatamani Babu yake angechukuliwa utumwani Amerika. Angepata bahati ya kuzaliwa Amerika.
Kuzaliwa Afrika tu ni shida sana.
Na ukitaka kuthibitisha kwamba kuzaliwa Afrika tu ni changamoto fuatilia kile kisa cha dogo wa kigoma aliyeibuliwa na mwandishi wa Millard Ayo.
Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0.
View attachment 3250148
Kafuatilie kisa chake You tube.Huyu Alifanya Nini?
AsanteKafuatilie kisa chake You tube.
Just write Dogo wa kigoma aliyeibuliwa na mwandishi wa Millard Ayo.
Kwanini wajisumbue kufanya hivyo? Rasiliamali za kwenye ardhi si wanachimba kama kawaidaHao wazungu anaowatetea wanasema Africa inabidi itawaliwe tena
Huyu jamaa kiazi kabisa mtu katolea mfano wa South africa ili kuonyesha viongozi wa Afrika walivyo tatizo yeye anasema sababu ni Elon Musk na Trump ndio sababu utasema mtu anaakili huyo.Jamaa anapiga bla bla bla tu. Hana point. Sisi watu weusi hatuwezi kujitawala. Mwambie aonyeshe sehemu yoyote yenye ngozi nyeusi ambayo imepata maendeleo na kuwa katika listi ya nchi zilizoendelea.
Ndo ukoloni Mambo Leo huo, unakuwa na uhuru wa bendera tu.Kwanini wajisumbue kufanya hivyo? Rasiliamali za kwenye ardhi si wanachimba kama kawaida
Kichwa ya waafrica wengi imejaa mavi.Nawaunga mkono wazungu mkuu
Hakuna Mtu aliyemfukarisha Mtu mweusi, Mtu mweusi yeye kama yeye ni tatizo kubwa dunianiKwa muda mfupi, ulimwengu ulitumaini. Ubaguzi wa rangi ulikuwa umekwisha. Afrika Kusini ilikuwa huru. Historia ndefu ya nchi hiyo ilijikita katika mifumo miwili iliyoshindana—moja ya wazungu waliokuwa wakimiliki utajiri wa taifa na kuishi maisha ya kiwango cha Ulaya, na nyingine ya weusi waliotengwa, kufukarishwa, na kunyimwa nafasi ya kujinufaisha na rasilimali zao wenyewe. Lakini sasa, Mandela alikua rais, na kwa mara ya kwanza, Afrika ilionekana kuwa na mfano wa ndoto ya kufanikisha maendeleo yake.
Lakini leo, miaka kadhaa baadaye, matumaini hayo yamegeuka kuwa jinamizi. Miaka ya ufisadi, uongozi mbovu, na kushindwa kwa serikali imesababisha taifa lililojaa ahadi kuanguka vibaya. Afrika Kusini sasa ni kielelezo cha kuporomoka kwa mataifa ya Kiafrika yenye maliasili nyingi lakini yasiyo na mwanga wa maendeleo. Hali ni mbaya sana kiasi kwamba maswali mazito yanapaswa kuulizwa: Kwa nini Mwafrika hana maajabu katika mabara yote anayoenda? Kwa nini tunazidi kuwa laana kwa ardhi yetu wenyewe?
Afrika Kusini: Kisa na Maangamizi
Baada ya apartheid, matumaini yalikuwa Afrika Kusini ingetoka katika kivuli cha ubaguzi wa rangi na kujenga taifa lenye uchumi imara, lenye nafasi sawa kwa wote. Lakini miaka imepita, na hali imeendelea kudidimia. Hivi leo, taifa hilo linakabiliwa na ukosefu wa umeme wa mara kwa mara, ongezeko la uhalifu, kuporomoka kwa miundombinu, na uongozi wa kifisadi unaokula kila fursa ya ustawi.
Tangu mwaka wa 2007, hitilafu za umeme zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Shirika la umeme, ambalo lilikuwa fahari ya taifa, limegeuka kuwa mzigo mkubwa kwa wananchi. Kwa miongo kadhaa, lilikuwa na mfumo wa usambazaji wa nishati imara, hata likiuza umeme kwa mataifa jirani. Lakini leo, shirika hilo limekuwa ishara ya kushindwa kwa serikali. Kila mwezi, hutolewa ratiba mpya za mgawo wa umeme, na maisha ya raia wa kawaida yamegeuka kuwa giza la kweli—si tu kwa maana halisi, bali pia kwa maana ya matarajio yaliyoshindwa.
Kwa nini hili lilitokea? Ni hadithi ya ujinga wa uongozi wa Afrika. Tangu mwaka wa 1998, serikali ilipewa tahadhari kuwa ikiwa hatua hazitachukuliwa, ifikapo mwaka wa 2007, mfumo wa usambazaji wa umeme ungeanza kuporomoka. Lakini hakuchukuliwa hatua zozote. Hakuna uwekezaji mpya uliowekwa kwenye mitambo, hakuna mikakati ya kuhakikisha uzalishaji unakidhi mahitaji ya taifa. Na kama ilivyotabiriwa, hali ilianza kudorora.
Matatizo yalipoanza, serikali haikufanya juhudi za dhati kurekebisha hali. Badala yake, ilianza kushughulika na masuala yasiyo ya msingi, huku mambo muhimu yakipuuzwa. Sheria ziliwekwa kujaribu kuhimiza ushindani katika sekta ya nishati, lakini hakukuwa na wawekezaji wa kuingia sokoni. Shirika la umeme lilipigwa marufuku kujenga mitambo mipya ya kuzalisha umeme, likiachwa bila njia za kujiongezea uwezo. Wakati hatimaye marufuku hiyo ilipoondolewa, tayari uharibifu ulikuwa umeshatokea.
Miaka ilivyopita, matatizo ya shirika la umeme yalizidi kuongezeka. Mitambo ya zamani, ambayo ilihitaji matengenezo makubwa, iliachwa ikiharibika bila kufanyiwa ukarabati wa maana. Makaa ya mawe yaliyotegemewa kama chanzo kikuu cha nishati hayakuwa yanapatikana kwa uhakika, na hata pale yalipopatikana, usimamizi mbovu ulifanya viwanda vya kuzalisha umeme kushindwa kufanya kazi ipasavyo. Kulikuwa na uhaba wa mafuta, migomo ya wafanyakazi, na hata tuhuma za hujuma ndani ya shirika lenyewe.
Mwisho wa yote, shirika la umeme likawa kama shimo la kuzama. Ufisadi ukatawala ndani yake, huku viongozi wa serikali wakichukua hongo na kufanya maamuzi mabovu kwa maslahi yao binafsi. Ripoti zilibaini kuwa kila mwezi, zaidi ya randi bilioni moja (zaidi ya dola milioni 50) zilikuwa zinaibwa kutoka shirika hilo. Na wakati mmoja, hata Mkurugenzi Mtendaji wake alinusurika kuuawa kwa sumu baada ya kufichua uozo huo.
Shirika la Umeme ni Kielelezo cha Kuanguka kwa Afrika Kusini
Tatizo la umeme ni sehemu tu ya tatizo pana zaidi. Miundombinu mingine ya umma nayo iko katika hali mbaya. Mifumo ya maji, ambayo ilipaswa kuboresha maisha ya watu, imeporomoka kiasi kwamba janga la kipindupindu limesababisha vifo katika maeneo mbalimbali ya nchi. Reli za taifa, ambazo zilikuwa mhimili wa uchumi wa viwanda, sasa zinapunguza kiwango cha mizigo kinachosafirishwa kwa 25% chini ya kiwango cha mwaka 2015.
Katika sekta ya usafiri wa anga, Shirika la Ndege la Afrika Kusini liliporomoka kabisa mwaka wa 2020. Lilirudi kwa nguvu mpya kwa msaada wa fedha za wawekezaji binafsi, lakini sasa ni kivuli tu cha shirika lenye nguvu lililokuwa fahari ya taifa.
Mambo haya yote yana athari kubwa kwa uchumi wa nchi. Kabla ya matatizo haya kuanza, Afrika Kusini ilikuwa na matarajio ya kuwa mfano wa maendeleo barani Afrika, ikitarajiwa kukua kwa wastani wa 6% kwa mwaka. Lakini tangu tatizo la umeme lilipoanza, uchumi umedorora, huku ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) ukishuka hadi kiwango cha 4% mara moja tu katika kipindi cha zaidi ya miaka 15.
Kwa sababu ya matatizo haya yote, wananchi wamekata tamaa na serikali yao. Ndoto ya taifa lenye maendeleo, ambalo lingeweza kushindana na mataifa ya Magharibi, sasa ni hadithi tu ya zamani.
Mwafrika Ataamka Lini?
Afrika Kusini siyo nchi pekee ya Kiafrika inayokumbwa na matatizo haya. Karibu kila nchi barani Afrika imekumbwa na historia inayofanana: maliasili nyingi, matumaini makubwa baada ya uhuru, lakini hatimaye kushindwa kutokana na uongozi mbovu, ufisadi, na ukosefu wa maono.
Swali kuu linabaki: Kwa nini Mwafrika hana maajabu? Tunapokwenda mabara mengine, tunajulikana kwa kufanya kazi za vibarua, kwa kutafuta hifadhi ya kisiasa, au kwa kuomba misaada. Wengine wameweza kujenga mataifa yenye nguvu—Wachina waligeuza jangwa kuwa miji ya kisasa, Waarabu wa Ghuba walijenga falme za kifahari kutoka kwenye mchanga wa jangwa, lakini Mwafrika anaendelea kuzama katika lindi la umasikini.
Tatizo siyo wazungu, siyo ukoloni, siyo mabeberu. Tatizo ni sisi wenyewe. Tunakataa kujifunza kutoka kwa makosa yetu. Tunakataa kuchagua viongozi waadilifu. Tunakubali maisha ya mateso na giza kana kwamba ni hatima yetu.
Ikiwa hatutaamka sasa, basi Afrika itaendelea kuwa bara la ndoto zilizokufa, na sisi tutaendelea kuwa watu wasio na maajabu mahali popote duniani.
Wewe Hujaelewa bado,Ni kweli waafrica baadhi tuna matatizo ila kwenye ukweli lazima usemwe maana tushakalilishwa sie watu weusi hatuna jema na kwa bahati mbaya hio kitu imetuingia sana inafanya tusiwe tunaji appreciate hata kidogo. Ndio maana humu kila siku kuna thread za kuwaponda watu weusi ilhali sisi wenyewe ni weusi . Utaskia
Watu waeusi tumelaaniwa
Watu weusi hatuna akili
Watu weusi wezi
Wengine wanaenda mbali mpaka wanasema sie watu weusi ni nyani
Too much self hate. ikiletwa thread ya wazungu utaona watu wanavosifia na kuwaona kama mungu vile
Hii kitu huwezi kuikuta kwa warabu wahindi au wachina ni watu weusi tuna tabia hizo za kujidharau ndio maana hatuendelei
Wewe ni mwafrika halisi ndio akina Makalla.South africa viongozi weusi walirithi nchi ikiwa tayari ina changamoto kibao hayo unayaona ni matokeo ya hizo changamoto...ninachoona hapa unacheza race card kuonyesha kwamba wazungu walikuwa perfect ingawa ukwelisio huo.