Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Kama bado unaamini hiyo stori bado unasafari ndefu mno tena sana!..π
Hizi zinabaki kuwafundisha watoto , majamaa wanazibeba mpaka ukubwani πKama bado unaamini hiyo stori bado unasafari ndefu mno tena sana!..π
Kazi bado ni kubwa sanaHizi zinabaki kuwafundisha watoto , majamaa wanazibeba mpaka ukubwani π
Naona chai mkuuKama bado unaamini hiyo stori bado unasafari ndefu mno tena sana!..π
Dah madam 2050 JF itakuwa na watu wachache mno..
Wafia dini watusaidieHizi zinabaki kuwafundisha watoto , majamaa wanazibeba mpaka ukubwani π
Stori za Alinacha.Hivi hakuna sehemu shetani alipojitetea?
Natamani kusikia utetezi wake kuhusu tuhuma anazopewa..!!
Kwa hiyo tuserebuke tu mwanangu, tukidanja imeishaKama bado unaamini hiyo stori bado unasafari ndefu mno tena sana!..π
Majibu ni yale yale wapo kwenye kipimo na habari za free willWafia dini watusaidie
Nani kasema?Dah madam 2050 JF itakuwa na watu wachache mno..
Tusuburi tuone mashahidi wapoNani kasema?
Wewe ulikuwa unajitambua kabla ya kuzaliwa..??Kwa hiyo tuserebuke tu mwanangu, tukidanja imeisha
Dah noma sana aise logic ndio msingi wa ukweli na Wafia dini wanakimbia logicMajibu ni yale yale wapo kwenye kipimo na habari za free will