Kwa nini mwanadamu ndiye anayetaabika na si Mungu? πŸ€”

Elezea kwanza ni kwa namna gani mwanadamu anashambuliwa, labda kutokea hapo ndio tunaweza kupata mjadala mzuri.
 
Kulingana na mitazamo ya kitheolojia, kuteseka kwa wanadamu hakusababishwi moja kwa moja na Mungu bali ni tokeo la uhuru wa kuchagua, unaowaruhusu wanadamu kuchagua matendo yao, ambayo nyakati fulani husababisha matokeo wasio yatarajia. Ingawa Mungu anachukuliwa kuwa mwenye uwezo wote, mitazamo ya kitheolojia inasema....... kuteseka kwa mwanadamu kutaendelea kwasababu kuondoa mateso kwa mwanadamu anaweza kukataa uchaguzi wa uhuru wake yeye mwenyewe.
 
Still doesn't make sense man hawa watheolojia naona Kuna vitu wana lack
 
Huelewi kitu gani mkuu?? Mateso yote binadamu anayopata ikiwemo kifo
sidhani kama kifo ni mateso, bali ni asili ya nature vitu kuisha muda wake, nyota,sayari miti nayo inaisha muda wake hivyo hayo ni mateso kwao,

Na nahisi Thecoder alikuwa anamaanisha hakuna kitu kinachoonyesha moja kwa moja mwanadamu anateswa na mungu bali ni athari ya matendo aliyofanya na kufanyiwa
 
Magonjwa, umaskini, njaa nk
 
Nadhani ulinielewa vizuri sana mkuu.
 
hapo labda magonjwa
Hata magonjwa huwezi kusema ni mateso ambayo yanaletwa moja kwa moja na Mungu, ila mostly ni matokeo yanayotokana na uchaguzi wa mambo kadha wa kadha, kwamfano mtu anaumwa malaria au mtu anaumwa kaswende, hapo Mungu anaingiaje?πŸ˜…πŸ˜…
 
Chanzo cha bifu lao ni mwanadamu.

Hivyo lazima shetani apambane na kile kitu ambacho Mungu anakipenda sana.
 
Hata magonjwa huwezi kusema ni mateso ambayo yanaletwa moja kwa moja na Mungu, ila mostly ni matokeo yanayotokana na uchaguzi wa mambo kadha wa kadha, kwamfano mtu anaumwa malaria au mtu anaumwa kaswende, hapo Mungu anaingiaje?πŸ˜…πŸ˜…
Mungu hayupo hizi ni stori za Alinacha mkuu.
 
Siku zote mwanadamu anateseka kutokana na chaguo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…