Kwa nini mwanadamu ndiye anayetaabika na si Mungu? 🤔

Kwanza kabisa, kama kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote, kwa nini shwtani awepo?

Ina maana Mungu mjuzi wa yote hakujua kuwa shetani ataiharibu dunia?

Ina maana Mungu nuweza yote kaachia Shetani aiharibu dunia?

Ina maana Mungu mwenye upendo wote hana huruma kwa watu wengi wanaoteseka duniani? Hakuona kiwa Shetani kuwapo kutaumiza watu na viumbe wake wengi duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…