Ni kweli CCM wanatumia haya mashirika kuiba pesa kufanya kampeni za kuwalaghai watanzania hata Mzee mkapa amekiri kwenye kitabu chake kwamba ,tulichukua fedha za CWT ilitukafanyie kampeni Kwa hiyo CCM ni majangiliImeshindwa kulipa mafao Bandari wataweza?
Hii nssf ambayo ili wastaafu wapewe pesa yao yani jasho lao mpaka watoe rushwa na kuzu gushwa kweli?Ninachojua NSSSF Ina hela nyingi Inashindwaje kuchukua biasha mhimu ya bandari ya Dar es salaam?
Tusipende kuwainua mataifa mengine kuliko sisi.hata sisi tunaweza.kuna mijengo ya matrillioni ya NSSSF .wanashindwa kununua mitambo ya kunyanyua makontena?
NSSF ni pension scheme in hela nyingi sana kwa kuwahudumia wastaafu. Kinachofanyika DPWorld Tanzania itauza hisa za Serkali DSE ndipo NSSF watawekeza.Hii nssf ambayo ili wastaafu wapewe pesa yao yani jasho lao mpaka watoe rushwa na kuzu gushwa kweli?
Kwanza project zao nyingi ni hasara kwa wenye pesa yao.
Tanzania tuna ombwe la uongozi. Hili la sekta, mashirika na kila kitu kinachoendeshwa kufeli ni matokeo ya hili ombwe. Uongozi hautaki kukubali kuwa ndiyo tatizo na badala yake wanataka watu waamini tatizo ni hizo organs! Tukitaka kupata mafanikio ni lazima tuanze kubadisha uongozi. Kama ni ubinafsishaji basi tuanze na urais na mawaziri ili kumaliza tatizo.Hii nssf ambayo ili wastaafu wapewe pesa yao yani jasho lao mpaka watoe rushwa na kuzu gushwa kweli?
Kwanza project zao nyingi ni hasara kwa wenye pesa yao.
Rostam ataweza mpeni, Dr EPC+FImeshindwa kulipa mafao Bandari wataweza?