Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupotosha kwa chuki. Angekuwa anapenda madaraka asingetoka mwenye we madarakani. Angekuwa wanapenda madaraka basi angeweza kuweka mfumo hata mwanafamilia yake aje kuwa Rais ila hakufanya hivyo. Wengi mnaongozwa na chuki.Nyerere alikuwa mbinafsi.Yaani aliona sifa yeye kuwa Rais wa Tanzania. Unafikiri Abeid angelazimisha yeye ndo awe Rais wa Tanzania,Nyerere angekubali muungano.Nyerere alipenda sana madaraka.Tena alipenda kutawala hata Africa nzima basi tu.Nyerere ubinafsi wake wa kupenda madaraka ndo umetufukisha hapa hadi tunatawaliwa na kina Abdul na mama yake.
Alilitengeneza pia Taifa la watu waoga.Kiujumla nyerere alitengeneza matatizo mengi kupitia katiba ambayo wachache wanayatumia kuiba rasilimali na utajiri wa nchi hii. Aliharibu sana
Inafikirisha!Simple
Simple':aliogopa upinzani Toka Tanganyika ikabidi aiue tanganyika
Miaka 23,alitoka sababu ya Ugonjwa.Hivi wewe unamjua Nyerere wewe.Waulize kina Kambona,Mwakwaia.Nyerere alipenda sana uraisi kuliko kitu chochote kile.Nyerere alikuwa mbinafsi kiasi kwamba hata wanae hakuwatengenezea njia ya kumrithi urais.Acha kupotosha kwa chuki. Angekuwa anapenda madaraka asingetoka mwenye we madarakani. Angekuwa wanapenda madaraka basi angeweza kuweka mfumo hata mwanafamilia yake aje kuwa Rais ila hakufanya hivyo. Wengi mnaongozwa na chuki.
Sasa waingereza si wamekuja baada ya wajerumani.Wakati wa ukoloni wa kijerumani paliitwa Germany east Africa.Sema kabla ya mkolini sijui paliitwaje.Kabla ya vita Kuu ya Dunia ya kwanza hapakuwepo taifa linaloitwa Tanganyika
Utanganyika ulianziahwa na Waingereza.
Kuna clip You Tube ikumuonyesha Mwalimu Nyerere akisema hayo