Kwa nini Nyerere aliukataa Utanganyika akaruhusu Uzanzibar?

Alifanya kazi yake na yeye ni binadamu , shida waliopokea kijiti tulitakiwa kuendelea kuedit katiba kuendana na technology , wetu wakajimilikisha sasa hivi hata klukigusa kubadili sheria tu inaonekana inagusa kaa la moto
 
Acha kupotosha kwa chuki. Angekuwa anapenda madaraka asingetoka mwenye we madarakani. Angekuwa wanapenda madaraka basi angeweza kuweka mfumo hata mwanafamilia yake aje kuwa Rais ila hakufanya hivyo. Wengi mnaongozwa na chuki.
 
Kabla ya vita Kuu ya Dunia ya kwanza hapakuwepo taifa linaloitwa Tanganyika
Utanganyika ulianziahwa na Waingereza.
Kuna clip You Tube ikumuonyesha Mwalimu Nyerere akisema hayo
 
Miaka 23,alitoka sababu ya Ugonjwa.Hivi wewe unamjua Nyerere wewe.Waulize kina Kambona,Mwakwaia.Nyerere alipenda sana uraisi kuliko kitu chochote kile.Nyerere alikuwa mbinafsi kiasi kwamba hata wanae hakuwatengenezea njia ya kumrithi urais.
 
Kabla ya vita Kuu ya Dunia ya kwanza hapakuwepo taifa linaloitwa Tanganyika
Utanganyika ulianziahwa na Waingereza.
Kuna clip You Tube ikumuonyesha Mwalimu Nyerere akisema hayo
Sasa waingereza si wamekuja baada ya wajerumani.Wakati wa ukoloni wa kijerumani paliitwa Germany east Africa.Sema kabla ya mkolini sijui paliitwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…