Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwenye IG ya Polisi Tanzania wanaposti hotuba za waziri mkuu mteule Mwingulu Nchemba kwa misingi ipi?
Mbona wanaleta mambo ya Polisiccm na siasa za uchawa. Yani tumeshindwa kuelewa
Basi kama walitaka kumpost wangetengeneza post ya kumpongeza kuliko kufanya uupuzi wao kama huu.
Na hii si mara kwanza hata uapisho wa Samia walifanya hivi hivi