Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?

Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?

Aliyetoa fatwa hiyo ni nani na anacheo gani katika Uislamu ?Na waislamu asilimia ngapi wanajali hilo ?

Fanya utafiti mfupi ,pitia nyumba jirani halafu taja jina hilo katika nyumba kumi ukipata hata nyumba 2 zinazomjua huyo mtu najitoa Jf.
Uislamu unalazimisha mtu kuamini wanaofaidi hiyo dini wanachokiamini
 
Uislamu unalazimisha mtu kuamini wanaofaidi hiyo dini wanachokiamini
IMG_20220928_111539.jpg

Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah) alipokuwa madini aliishi na wayahuhidi wote waliowahi salama chini ya utawala wa kiislamu wala hakulazimishwa kuamini wala kuuwawa vilevile .
 
Aliyetoa fatwa hiyo ni nani na anacheo gani katika Uislamu ?Na waislamu asilimia ngapi wanajali hilo ?

Fanya utafiti mfupi ,pitia nyumba jirani halafu taja jina hilo katika nyumba kumi ukipata hata nyumba 2 zinazomjua huyo mtu najitoa Jf.

Fatwa ilitolewa na Supreme Leader Ayatollah Ruhollah Khomeini wa Iran mwaka 1989. Ayatollah mwenyewe ashafariki na Rushdie bado anavuta upepo
 
View attachment 2449546

Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah) alipokuwa madini aliishi na wayahuhidi wote waliowahi salama chini ya utawala wa kiislamu wala hakulazimishwa kuamini wala kuuwawa vilevile .
If that is the case, unamwekeaje mtu fatwa eti kakufuru.yeye haamini uwepo wa Mohamed , au anamuona Mohamed in another face, iweje unamuua eti amekufuru?
 
Aliyetoa fatwa hiyo ni nani na anacheo gani katika Uislamu ?Na waislamu asilimia ngapi wanajali hilo ?

Fanya utafiti mfupi ,pitia nyumba jirani halafu taja jina hilo katika nyumba kumi ukipata hata nyumba 2 zinazomjua huyo mtu najitoa Jf.
Nadhani wewe umri wako ni mdogo kuna mambo mengi huyafahamu. Mengi sana.naamini humu JF utajifunza.

Unamfahamu Ayatollah Ruhollah Khomeini? Msome. Then msome Salman Rushdie. Naamini unapenda Elimu na una Uelewa mzuri. Baadaye utakuja kuwa na Uelewa mkubwa sana ukiwa na spirit ya kujifunza.
 
Fatwa ilitolewa na Supreme Leader Ayatollah Ruhollah Khomeini wa Iran mwaka 1989. Ayatollah mwenyewe ashafariki na Rushdie bado anavuta upepo
We acha tu.... Mtoa Fatwa alitangulia kabla ya mtolewa. Je kauli ya Makamba inahusika hapa?
 
hivi hapa africa na warabu morroco kuna mganga wa kikristo
 
Mtoa mada na wachangiaji wengi hamna mnachokijua katika dini tukufu na safi ya kiislam.
kulikuwa tangia kipindi cha mtume watu kama nyinyi na hao waandinshi wenu wa kujifanya waislam na uislam ulizidi kunawiri tu.
kwa taarifa yao mpaka mtume anakufa walikuwa wayahud kibao na wakiristo na kaishi nao vyeme tu.Waislam hawaingii vita bila ya mashart kibao na haujawi kumlazimisha asiye muislam kuukubali uislam kwa silaha hata but wanapigana kwa mtu anayewapiga .
Jinsi uislam unavyopigwa vita kama ingekuwa si dini ya haq kwel ingelishafutwa zaman katika uso wa duniani hapa lakini waaapi huko huko kwa wapigia vita ndo unashamiri na kustawi.
 
Wanted to tell him the same thing.
Anaonekana ana umri mdogo ila ana uelewa flani hivi akitulia akajifunza atayafahamu mengi. Nadhani pia huyu dogo hata shule ameenda kiasi flani basi tu ndo alijikuta muislam na haufahamu sana uislamu. Kama akiufaham sana. Atapata muda wa kutafakari. Mambo mengi amefichwa hayafahamu.
 
Back
Top Bottom