adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Swadakta, umesema kiongozi mkuu wa kidini wa Irani na sio wa waislamu mimi mmatumbi haina haja ya kumfuata..Alitolewa na Ayatollah Al khomeini kiongozi mkuu wa kidini wa Iran ndie aliyetoa dau pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta, umesema kiongozi mkuu wa kidini wa Irani na sio wa waislamu mimi mmatumbi haina haja ya kumfuata..Alitolewa na Ayatollah Al khomeini kiongozi mkuu wa kidini wa Iran ndie aliyetoa dau pia
Kwani utaki dauSwadakta, umesema kiongozi mkuu wa kidini wa Irani na sio wa waislamu mimi mmatumbi haina haja ya kumfuata..
Sifàhamu kuhusu hukumu hiyo kwa kina maana mimi mchanga wa elimu kuhusu jambo hilo ila kwa vile umeuliza nitafuatilia kwa kina kuja na majibu sahihi yenye ushahidi na dalili inshaAllah . Kama kuna wajuzi zaidi watakujibu ila mimi mpaka nisome katika vyanzo sahihi na vya uhakika.Mkuu huwa unajibu kwa staha huna mihemko, naomba kuuliza mtu akihama uislam adhabu yake kweli ni kifo ? au ni lazima ukishazaliwa na wazaza waislam basi hutakiwi kubadilika
Kuna aya inasema hakuna kulazimishana kwenye dini je kwa waislam inakubalika kutokana na sheria zake au ni kwa wasio waislam pekee ndio hakuna kulazimishana
Sifàhamu.Kwani utaki dau
Kuna wakati unajizima data unakuwa kama khayawani.Unaweza kunithibitishia ya kuwa Khomein alikuwa Muislamu ? Ukiweza mimi najitoa leo jf.
Umemaliza kabisa. Umethibitisha suala la Ghirba.Hii aya ya pili, maelezo haya ameyasema nani ?
Unakubali Mtume aliishi na Wasio kuwa Waislamu ?
Shida yenu hivi vitu hamvisomi na mkavielewa, Kuna aya au Hadithi zinafasiriwa kutokana na muktadha wa hali. Vyote Mtume alivifanyia kazi.
Tafta hela, alishindwa furauni ndio utaweza wewe?Kama Lugha ya Kiingereza ipo kwako na unaielewa. Msome SALMAN RUSHDIE KATIKA KITABU CHAKE CHA AYA ZA KISHETANI.
Umri wangu si wa kutafuta "hela" ni umri wa kutumia PESA....😂 FIRAUNI ALISHINDWA NINI KWA MUHAMADI?Tafta hela, alishindwa furauni ndio utaweza wewe?
Watu wa dini wanajiapiza kuua kumtetea Mungu😂Huyo Rushdie lazima tutamuua tu. Tulimkosa kosa pale NewYork, lakini mwisho wake waja.
sasa haya ya fatwa yanatoka wapi?Aliyetoa hiyo fatwa mimi simjui ndio kwamza nimemjua hapa Jf na sijui hiyo fatwa ya kuuwawa kwa huyo jamaa ameitoa kwa misingi ipi .Mfano hapa bongo atokee Mwamposa au kiongozi wa kanisa la Roma atoe fatwa Chizi Maarifa auwawe huo inakuwa ndio msimamo wa Wakiristo wote Duniani ?
Nikija kihistoria Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah ) aliishi na watu wasiomumini na kumuita majina sio kejeli kote Makka kipindi uislamu hauna nguvu mpaka Madina kipindi Uislamu unatawala na jambo la kuuwawa kisa hawaamini halikutokea ..
Walivyo wa ajabu, vitu kama hivi watakwambia hiyo siyo quran, ni wahuni wamegeuza maneno!
Kuna mambo mengine si ya Mungu ni ya wahuni fulani wajanja kutawala wenzao.Mungu mwenyewe alisema tusiue. Sasa huyo Mungu aliyewaambia waue kama njia ya kumtetea ni Mungu wa aina gani au wa wapi?
Aacha ujinga hapa tunaongelea Elimu, jibuni swali langu, thibitisheni ya kuwa Khomein alikuwa Muislam au ni Muislamu na taifa la Irani ni taifa la Kiislamu. Wewe utakuwa Mkristo bila shaka, sababu hamna akili za kuhoji na kufanya utafiti. Yaani mpo mpo kila mnalo sikia mna chukua tu.Kuna wakati unajizima data unakuwa kama khayawani.
Iran ni Jamhuri ya kiislamu, na kiongozi wao mkuu ni Ayatollah, inawezekana vipi Ayatollah asiwe mwislamu?
Jibu swali nililo kuuliza.Umemaliza kabisa. Umethibitisha suala la Ghirba.
Mental case.Aacha ujinga hapa tunaongelea Elimu, jibuni swali langu, thibitisheni ya kuwa Khomein alikuwa Muislam au ni Muislamu na taifa la Irani ni taifa la Kiislamu. Wewe utakuwa Mkristo bila shaka, sababu hamna akili za kuhoji na kufanya utafiti. Yaani mpo mpo kila mnalo sikia mna chukua tu.
Aliyetoa fatwa hiyo ni nani na anacheo gani katika Uislamu ?Na waislamu asilimia ngapi wanajali hilo ?
Fanya utafiti mfupi ,pitia nyumba jirani halafu taja jina hilo katika nyumba kumi ukipata hata nyumba 2 zinazomjua huyo mtu najitoa Jf.
Kikubwa ni kwamba akili nyingi za wakristo ziko kwenye Google hivyo wanapata tabu sana kuutambua uislamu
Kwa sababu wao wanahisi Uislamu ni Jina au cheo cha mtu
Kumbe hawajui kua Uislamu unaongozwa na misingi maalum Tena iliyopo kwenye katiba mama ambayo ni QURAN
Na wanapaswa kujua jambo la kiislamu halipitishwi tu na mtu kashiba zake makande.
Lazima kue na makubaliano ya waislamu wote walio wasomi wa Dini
Wanapaswa kujua na kutofautisha kati ya siasa za nchi na Dini husika.