Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?

Alitolewa na Ayatollah Al khomeini kiongozi mkuu wa kidini wa Iran ndie aliyetoa dau pia
Swadakta, umesema kiongozi mkuu wa kidini wa Irani na sio wa waislamu mimi mmatumbi haina haja ya kumfuata..
 
Sifàhamu kuhusu hukumu hiyo kwa kina maana mimi mchanga wa elimu kuhusu jambo hilo ila kwa vile umeuliza nitafuatilia kwa kina kuja na majibu sahihi yenye ushahidi na dalili inshaAllah . Kama kuna wajuzi zaidi watakujibu ila mimi mpaka nisome katika vyanzo sahihi na vya uhakika.
 
Unaweza kunithibitishia ya kuwa Khomein alikuwa Muislamu ? Ukiweza mimi najitoa leo jf.
Kuna wakati unajizima data unakuwa kama khayawani.

Iran ni Jamhuri ya kiislamu, na kiongozi wao mkuu ni Ayatollah, inawezekana vipi Ayatollah asiwe mwislamu?
 
Hii aya ya pili, maelezo haya ameyasema nani ?

Unakubali Mtume aliishi na Wasio kuwa Waislamu ?

Shida yenu hivi vitu hamvisomi na mkavielewa, Kuna aya au Hadithi zinafasiriwa kutokana na muktadha wa hali. Vyote Mtume alivifanyia kazi.
Umemaliza kabisa. Umethibitisha suala la Ghirba.
 
sasa haya ya fatwa yanatoka wapi?
 
Mungu mwenyewe alisema tusiue. Sasa huyo Mungu aliyewaambia waue kama njia ya kumtetea ni Mungu wa aina gani au wa wapi?
Kuna mambo mengine si ya Mungu ni ya wahuni fulani wajanja kutawala wenzao.
 
Kuna wakati unajizima data unakuwa kama khayawani.

Iran ni Jamhuri ya kiislamu, na kiongozi wao mkuu ni Ayatollah, inawezekana vipi Ayatollah asiwe mwislamu?
Aacha ujinga hapa tunaongelea Elimu, jibuni swali langu, thibitisheni ya kuwa Khomein alikuwa Muislam au ni Muislamu na taifa la Irani ni taifa la Kiislamu. Wewe utakuwa Mkristo bila shaka, sababu hamna akili za kuhoji na kufanya utafiti. Yaani mpo mpo kila mnalo sikia mna chukua tu.
 
Mental case.
 
Kikubwa ni kwamba akili nyingi za wakristo ziko kwenye Google hivyo wanapata tabu sana kuutambua uislamu
Kwa sababu wao wanahisi Uislamu ni Jina au cheo cha mtu

Kumbe hawajui kua Uislamu unaongozwa na misingi maalum Tena iliyopo kwenye katiba mama ambayo ni QURAN

Na wanapaswa kujua jambo la kiislamu halipitishwi tu na mtu kashiba zake makande.

Lazima kue na makubaliano ya waislamu wote walio wasomi wa Dini

Wanapaswa kujua na kutofautisha kati ya siasa za nchi na Dini husika.
 
KITABU KIMEANDIKWA KWA KUTUMIA LUGHA YA KIFICHO SANA, LAKINI NI UKWELI MTUPU.
MIAKA YA 90 MWISHONI WATOTO WANA WA ISMAEL WALIKUA NA FUJO , MAANDAMANO NA MATAMKO YA VITISHO.
MPAKA IKAPELEKEA KUWAKO KWA MAUAJI YA MWEMBECHAI.
KANISA KUBWA LILITOA TAMKO LA KUTAFSIRI KITABU! UKIMYA UKAJITOKEZA MPAKA LEO

ZAMA ZILE KUNA WALIOJIONA WANA HAKI YA KUUA WENGINE!KWAJINA LA MUNGU WAO!
ZAMA HIZI UKIJA NA MAWAZO YALE YALE, HUWEZI AMINI!TUKANA KRISTO, UKRISTO,TUKANA MUNGU, TUKANA KILA KITU WATU WAKO KIMYA NA HUTASIKIA WAKIJICHUKULIA SHERIA MIKONONI WALA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI.
LAKINI UKISHIKA KISU AU PANGA AU BOMU...KWA JIANA LA MUNGU WAKO.
BABAKE TUNAKUTANA MTAANI VIZURI TU,KISU KWA KISU, PANGA KWA PANGA BOMU KWA BOMU
 
Aliyetoa fatwa hiyo ni nani na anacheo gani katika Uislamu ?Na waislamu asilimia ngapi wanajali hilo ?

Fanya utafiti mfupi ,pitia nyumba jirani halafu taja jina hilo katika nyumba kumi ukipata hata nyumba 2 zinazomjua huyo mtu najitoa Jf.

Aliyetoa Fatwa hiyo ni Ayatollah Khomeini mwaka 1989, baada ya Rusdie kuandika kitabu Cha Satanic verses, kikiwa kinelezea kuhusu waislamu wawili waliohamia ulaya na kuhangaika kudumisha uislamu dhidi ya Tamaduni za Ulaya. Mmoja alifanikiwa kuutunza uislamu na mwingine alishindwa kuutunza uislamu akajiua.

Mwaka 1998, rais wa Iran Mohamed Khatami alitangaza rasmi kwamba jamhuri ya Iran haina nia Tena ya kuendelea na hiyo fatwaa. Kwa hivyo fatwa ilifutwa mwaka 1998. Anaendelea kuitekeleza ni kwaa ajili yake binafsi.
 

Uuslamu una sections nyingi hivyo kila kiongozi wa section husika ana uwezo wa kucommand wafuasi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…