Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

Waanze na camera walau 10 kwanza kwenye strategic traffic lights, hawana pesa? Ni bilioni ngapi kwani kufunga Camera 10?
Mbona unakomalia bilioni...una mzigo nini una force tender!( jokes)
===!
Naunga mkono hoja. Kwa kweli kwa teknolojia ilipofikia na unafuu wa bei ya teknolojia hii inashangaza kuendelea kutumia mbinu za zamani kuendesha mambo yetu.
 
Kwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani?
Kuna miaka wakati Mahita ni IGP zilifungwa mpaka Manzese Darajani na pale Airtel HQ sasa hivi(wakati Njenje wanapiga mziki pale) baadae zikatolewa na mpaka leo akuna kitu-Huawei walijitolea kufunga CCTV miji mikubwa Yote Bure! Awakupata Ushirikiano unaotakiwa kama waliopata Kenya(sasa hv Nairobi kwa mfano Gaidi ambae yupo kwenye database ya FBI/Mosad akiingia to NRB wahusika wote wanapata notification na location yake!!Hapa mara ya Mwisho Magaidi walipotaka Lipuwa Masaki na Slipy way!Mossad wakaamuwa kuwaambia USA embassy ya Dar kutoa Tangazo🤣🤣Wakati huo Magaidi wote waliokuwa kwenye misheni wameshawavisha Kanga!
 
Camera za kuweka mji mzima sio kama za kuweka nyumba moja

Unahitaji camera za outdoor zenye quality kubwa unahitaji cabling ya kutosha ya umeme na backup pia kwa mji mzima pia unahitaji cabling ya mji mzima na data center kubwa ya ku monitor the whole city

Wataalamu wa kufanya monitoring na repair pia backup server ya kutunza matukio atleast ya mwaka mmoja hapa unahitaji storage kubwa sana za data tena nadhani hichi kinawezekana ni vile hakina kipaumbele wakileta hii agenda utaskia shule hazina madawati sijui wapi hakuna maji na bla bla zingine
Security should be a priority.
Mbona Kipara katumia bilions kwa vitu ya ajab ajab na hatusemi kitu.
314B kwenye katiba ilioishia hewani na hakuna wakuulizwa.

We need total reforms of our country kiukweli
 
Kuna miaka wakati Mahita ni IGP zilifungwa mpaka Manzese Darajani na pale Airtel HQ sasa hivi(wakati Njenje wanapiga mziki pale) baadae zikatolewa na mpaka leo akuna kitu-Huawei walijitolea kufunga CCTV miji mikubwa Yote Bure! Awakupata Ushirikiano unaotakiwa kama waliopata Kenya(sasa hv Nairobi kwa mfano Gaidi ambae yupo kwenye database ya FBI/Mosad akiingia to NRB wahusika wote wanapata notification na location yake!!Hapa mara ya Mwisho Magaidi walipotaka Lipuwa Masaki na Slipy way!Mossad wakaamuwa kuwaambia USA embassy ya Dar kutoa Tangazo🤣🤣Wakati huo Magaidi wote waliokuwa kwenye misheni wameshawavisha Kanga!
Hivyo vitu vya bure hata mimi siafiki, ni hatari kwa usalama wetu
 
Mfano ile barabara ya mbezi kibaha haitaji ata kuweka matuta kama mkuu wa mkoa alivyonelea, zinawekwa tochi kwa atakaye zidi speed ina capture. Gari itakutana na deni siku yoyote
 
Kipindi Mo ametekwa, CCTV camera binafsi ndio zilitumika, zingekuwepo na kwenye mataa uchunguzi ungekuwa rahisi sana, mambo ya ajabu sana haya!

Kama watekaji akina Bashite watang'oa kwanza kabla ya tukio.
Mfumo wetu umetekwa na wahuni wachache
 
Duuuuuh hatari hii ilitokea wapi tena mbona hili tukio halikusikika kabisa au jamaa kwa sababu hapa waliharibu wao basi wakaamua kuficha tukio kabisa watu wasijue...!
 
Camera za kuweka mji mzima sio kama za kuweka nyumba moja

Unahitaji camera za outdoor zenye quality kubwa unahitaji cabling ya kutosha ya umeme na backup pia kwa mji mzima pia unahitaji cabling ya mji mzima na data center kubwa ya ku monitor the whole city

Wataalamu wa kufanya monitoring na repair pia backup server ya kutunza matukio atleast ya mwaka mmoja hapa unahitaji storage kubwa sana za data tena nadhani hichi kinawezekana ni vile hakina kipaumbele wakileta hii agenda utaskia shule hazina madawati sijui wapi hakuna maji na bla bla zingine
Achana porojo, ukweli ni kwamba hazitakiwi ili zisijekuharibu michongo yao full stop.
 
Kuna miaka wakati Mahita ni IGP zilifungwa mpaka Manzese Darajani na pale Airtel HQ sasa hivi(wakati Njenje wanapiga mziki pale) baadae zikatolewa na mpaka leo akuna kitu-Huawei walijitolea kufunga CCTV miji mikubwa Yote Bure! Awakupata Ushirikiano unaotakiwa kama waliopata Kenya(sasa hv Nairobi kwa mfano Gaidi ambae yupo kwenye database ya FBI/Mosad akiingia to NRB wahusika wote wanapata notification na location yake!!Hapa mara ya Mwisho Magaidi walipotaka Lipuwa Masaki na Slipy way!Mossad wakaamuwa kuwaambia USA embassy ya Dar kutoa Tangazo[emoji1787][emoji1787]Wakati huo Magaidi wote waliokuwa kwenye misheni wameshawavisha Kanga!
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Back
Top Bottom