careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Milioni moja na laki tano njoo unilipe nikafunge mataq yoyote unayotakaKwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani?