Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

Waanze na camera walau 10 kwanza kwenye strategic traffic lights, hawana pesa? Ni bilioni ngapi kwani kufunga Camera 10?
Mbona unakomalia bilioni...una mzigo nini una force tender!( jokes)
===!
Naunga mkono hoja. Kwa kweli kwa teknolojia ilipofikia na unafuu wa bei ya teknolojia hii inashangaza kuendelea kutumia mbinu za zamani kuendesha mambo yetu.
 
Kuna miaka wakati Mahita ni IGP zilifungwa mpaka Manzese Darajani na pale Airtel HQ sasa hivi(wakati Njenje wanapiga mziki pale) baadae zikatolewa na mpaka leo akuna kitu-Huawei walijitolea kufunga CCTV miji mikubwa Yote Bure! Awakupata Ushirikiano unaotakiwa kama waliopata Kenya(sasa hv Nairobi kwa mfano Gaidi ambae yupo kwenye database ya FBI/Mosad akiingia to NRB wahusika wote wanapata notification na location yake!!Hapa mara ya Mwisho Magaidi walipotaka Lipuwa Masaki na Slipy way!Mossad wakaamuwa kuwaambia USA embassy ya Dar kutoa Tangazo🤣🤣Wakati huo Magaidi wote waliokuwa kwenye misheni wameshawavisha Kanga!
 
Security should be a priority.
Mbona Kipara katumia bilions kwa vitu ya ajab ajab na hatusemi kitu.
314B kwenye katiba ilioishia hewani na hakuna wakuulizwa.

We need total reforms of our country kiukweli
 
Hivyo vitu vya bure hata mimi siafiki, ni hatari kwa usalama wetu
 
Mfano ile barabara ya mbezi kibaha haitaji ata kuweka matuta kama mkuu wa mkoa alivyonelea, zinawekwa tochi kwa atakaye zidi speed ina capture. Gari itakutana na deni siku yoyote
 
Kipindi Mo ametekwa, CCTV camera binafsi ndio zilitumika, zingekuwepo na kwenye mataa uchunguzi ungekuwa rahisi sana, mambo ya ajabu sana haya!

Kama watekaji akina Bashite watang'oa kwanza kabla ya tukio.
Mfumo wetu umetekwa na wahuni wachache
 
Duuuuuh hatari hii ilitokea wapi tena mbona hili tukio halikusikika kabisa au jamaa kwa sababu hapa waliharibu wao basi wakaamua kuficha tukio kabisa watu wasijue...!
 
Achana porojo, ukweli ni kwamba hazitakiwi ili zisijekuharibu michongo yao full stop.
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…