careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Milioni moja na laki tano njoo unilipe nikafunge mataq yoyote unayotakaKwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani?
Hahaha, sawa wamekusikia, watakutafutaMilioni moja na laki tano njoo unilipe nikafunge mataq yoyote unayotaka
CCTV gani inakuwa clear hivyo? Acha uongoDereva wa lori kampa body we hujaona?
CCTV gani inakuwa clear hivyo? Acha uongo
Daaah, hivi kwanini inakuwa hivi lakini, si wafunge hizo camera, kwani shs. ngapi?Amini tu Mkuu,
Kenya wametuacha mbali kidogo mzee.
Zanzibar zipo mpaka baadhi ya mitaa ishawekwa almost stone Town yote ipo under CCTV cameraHahahahahahaa dah umeua! Zile za Zanzibar sijui bado zipo
Daaah, hivi kwanini inakuwa hivi lakini, si wafunge hizo camera, kwani shs. ngapi?
Una undugu na Shigongo(MB) mkuu?Camera za kuweka mji mzima sio kama za kuweka nyumba moja
Unahitaji camera za outdoor zenye quality kubwa unahitaji cabling ya kutosha ya umeme na backup pia kwa mji mzima pia unahitaji cabling ya mji mzima na data center kubwa ya ku monitor the whole city
Wataalamu wa kufanya monitoring na repair pia backup server ya kutunza matukio atleast ya mwaka mmoja hapa unahitaji storage kubwa sana za data tena nadhani hichi kinawezekana ni vile hakina kipaumbele wakileta hii agenda utaskia shule hazina madawati sijui wapi hakuna maji na bla bla zingine
Daaah, hivi vitu mara zote huwa nasemaga ni maigizo tu, maana mwishowe lazima mganga atoe na za simu...Ni kipaumbele, Kenya leo wanadhibiti sana vibaka Nafikiri ulionaga hii hapa chini
Hii ya lini Mkuu?Polisi wenyewe ndio hawa?? Dereva wa lory kaniudhi mno, kashindwa kutumia nafasi adimu kama hii, kweli?
View attachment 2013278
View attachment 2013279
View attachment 2013280
View attachment 2013281
View attachment 2013282
View attachment 2013283
View attachment 2013284
View attachment 2013285
juzi jioni KakaHii ya lini Mkuu?
Naomba tafadhali chanzo cha taarifa yako kwamba mchakato wa katiba mpya uliokufa ulitumia 314 billion shillings.Security should be a priority.
Mbona Kipara katumia bilions kwa vitu ya ajab ajab na hatusemi kitu.
314B kwenye katiba ilioishia hewani na hakuna wakuulizwa.
We need total reforms of our country kiukweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanunue ili wakikimbia na maboksi ya kura tuwaone? Au wakituchapa marisasi ya moto wakati wa maandamano ya amani waonekane??
Acha kutetea mambo ya kipumbavu, vipaumbele vya liserikali la majizi ni kufisadi rasilimali za watanganyika.Kama ww ulivyo kuwa na vipaumbele vyako.
Na serikali pia ina vyake.
Ww kwako umeweka CCTV??.
Nilitegemea usalama wa raia ungekuwa ni kipaumbele namba 1 kwa serikali yeyote ileKama ww ulivyo kuwa na vipaumbele vyako.
Na serikali pia ina vyake.
Ww kwako umeweka CCTV??.