Kwa nini sifanikiwi katika harakati zangu za kutafuta kazi?

Kwa nini sifanikiwi katika harakati zangu za kutafuta kazi?

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT.
Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka kazi, sasa wadau naombeni ushauri au support yeyote sababu hali ni tete.
Wanaojua NGO's zinazo deal na conservation please let me know... Nipo pande hizi za arusha
 
pole kaka tuendelee kukaza na kustay focus na kukeep hope alive utafanikisha tu usichoke!!!!
 
Ukiona hivyo bas your not doing it in a light way, you need to be strategic.
 
Umejaribu kuwaona wataalam wa Sumbawanga na Tanga...!?

Nilikuwa napita tu....
 
Utafanikiwa,tanapa,na makampuni hapo arusha?
 
Utafanikwa Mkuu, endelea kuhangaika ukichanganya na maombi Mungu yupo upande wetu daima.
 
Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT.
Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka kazi, sasa wadau naombeni ushauri au support yeyote sababu hali ni tete.
Wanaojua NGO's zinazo deal na conservation please let me know... Nipo pande hizi za arusha

Usikate tamaa, omba Mungu kwa sana. ajira hutokea pale usipotegemea kabisa. kama ukipata chance ya kujisomea pia
soma2 usitulie tu utazidi kuchanganyikiwa!!
 
ccm ni chanzo cha ukosefu wa ajira.wanajaza watoto wa vigogo ambao hawana uwezo makazini.
 
Ikitokea nafasi ingine ya kazi tofauti na fani yako piga pia usikae ukasema huna kazi piga kazi zingine huku unafuatilia kwa karibu kazi ya fani uipendayo..marufuku kukata tamaaaaa.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:glasses-nerdy:
 
Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT.
Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka kazi, sasa wadau naombeni ushauri au support yeyote sababu hali ni tete.
Wanaojua NGO's zinazo deal na conservation please let me know... Nipo pande hizi za arusha

Pole kwa tatizo la ajira,jaribu njia zifuatazo katika kuingia katika ajira:
[1].ukiwa na Tshs.10,000/= tumia pesa kidogo sajili jina "WILD FAUNA" as business name with BRELA this will cost u less than TZS.8,000/= then apply kwa makampuni wakudhamini kwa wewe{as WILD FAUNA} uanzishe jambo ambalo utalimudu,kuanzia hapo utakuwa umepata contact,utajilipa kipato fulani.
[2].Kama upo miji ya Arusha,Mwanza,au DSM tumia Tshs.10,000/= au chini ya hapo tayarisha Brochure zenye kutangaza matangazo ya biashara za wengine halafu weka ktk baadhi ya hotel zilizo katika mji uliopo.!!!!,kwani watakaotangaza watakulipa pesa wewe{as WILD FAUNA}.!!!,kwa njia hii utajikuta unapata contact,halafu ajira itakuja bila kutumia nguvu sana.
[3].Tangaza {WILD FAUNA} as a business kwenye magazeti kwenye matangazo ya "CLASSIFIED " advertising mfano Daily news,Nipashe,The Guardian,n.k for less than TZS.3000/= utashangaa unapata order ya biashara ambayo uliyofikiria kuifanya,uta[pata kipato na contact na ajira utaipata kwa njia ya kuwa na mawasiliano ya watu mbalimbali during yr business.!!!
[4] Wakati unayafanya yote kama nilivishauri hapo juu huku unaendelea kutafuta kazi ya kuajiriwa.!!!!
 
Nashukuru sana mkuu "CHAKOCHETU" Thats a gud idea,
 
Back
Top Bottom