Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT.
Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka kazi, sasa wadau naombeni ushauri au support yeyote sababu hali ni tete.
Wanaojua NGO's zinazo deal na conservation please let me know... Nipo pande hizi za arusha
Pole kwa tatizo la ajira,jaribu njia zifuatazo katika kuingia katika ajira:
[1].ukiwa na Tshs.10,000/= tumia pesa kidogo sajili jina "WILD FAUNA" as business name with BRELA this will cost u less than TZS.8,000/= then apply kwa makampuni wakudhamini kwa wewe{as WILD FAUNA} uanzishe jambo ambalo utalimudu,kuanzia hapo utakuwa umepata contact,utajilipa kipato fulani.
[2].Kama upo miji ya Arusha,Mwanza,au DSM tumia Tshs.10,000/= au chini ya hapo tayarisha Brochure zenye kutangaza matangazo ya biashara za wengine halafu weka ktk baadhi ya hotel zilizo katika mji uliopo.!!!!,kwani watakaotangaza watakulipa pesa wewe{as WILD FAUNA}.!!!,kwa njia hii utajikuta unapata contact,halafu ajira itakuja bila kutumia nguvu sana.
[3].Tangaza {WILD FAUNA} as a business kwenye magazeti kwenye matangazo ya "CLASSIFIED " advertising mfano Daily news,Nipashe,The Guardian,n.k for less than TZS.3000/= utashangaa unapata order ya biashara ambayo uliyofikiria kuifanya,uta[pata kipato na contact na ajira utaipata kwa njia ya kuwa na mawasiliano ya watu mbalimbali during yr business.!!!
[4] Wakati unayafanya yote kama nilivishauri hapo juu huku unaendelea kutafuta kazi ya kuajiriwa.!!!!