Basi nichune mimi. Pato la familia yako litakuwa linachangiwa na wanaume wawili, huoni kama ni dili hilo?
back to topic pse!
leo kuna hangover? ngoja nimtafutie mama matesha buzi yani kutakua na mtu anachangia kwenye familia yako kama ww unavyochangia!
Vipi unataka kuresti in piis?back to topic pse!
leo kuna hangover? ngoja nimtafutie mama matesha buzi yani kutakua na mtu anachangia kwenye familia yako kama ww unavyochangia!
'Sasa kwanini usimchune mwenyewe?
Vipi unataka kuresti in piis?
Now back to the topic. Hivi hii thread inasemaje? Ahaa kwamba kwanini mnatupenda waume wa watu? Haya twende kazi!
Goodmorning dada!'
haa maswali mengine jamani...atleast nimecheka mana nilikuwa nimejinunia tu hapa!....
Goodmorning dada!
Eti ni kwanini siku hizi mnapenda kuwa single halafu mnatupenda vikongwe sisi tena waume za wanawake wenzenu?
Kwa hiyo hakuna penzi bila pesa siyo?g'mrng kaka! coz mnachunika kalaini.........
Huku ni pesa tu! penzi si unapata kwa mkeo?Kwa hiyo hakuna penzi bila pesa siyo?
Sasa ndio mchune waume za watu? Kwanini msichunane nyie kwa nyie?Huku ni pesa tu! penzi si unapata kwa mkeo?
Na penzi bila pesa cjawahi kuliona
Kila mtu huwa anaona mambo yanayomzunguka. Kama wanawake wengi unaokutana nao ni wa aina hiyo, ukweli ni kwamba you are a type of a guy who attracts those kind of women. To another type of a guy, things would be totally different.
So, it's not the fact, but you.
Mimi kwangu ni kinyume, wanawake naokutana nao wote wanataka everlasting relationship, and they have never been after money, even for once. But this is not the fact, it's me!
Wanasema, ukivaa miwani ya blue, basi kila kitu kinaonekana cha blue, but it's not the fact, ni miwani.
Waume za watu wanachunika kirahisi bwana anakuja na mastress yake unapoza unambembeleza ahahah wallet inafunguka yenyeweSasa ndio mchune waume za watu? Kwanini msichunane nyie kwa nyie?
Kwahiyo kama mme wa mtu hana hela huna time naye siyo? Una experience ya muda gani? Anyaway umezawadiwa hii:Waume za watu wanachunika kirahisi bwana anakuja na mastress yake unapoza unambembeleza ahahah wallet inafunguka yenyewe
Kwahiyo kama mme wa mtu hana hela huna time naye siyo? Una experience ya muda gani?
yaani nitashangaa kimada aseme anatembea na mume wa mtu kwa mapenzi, na nitamshangaa kimada anaetembea na mume wa mtu bila pesa, sasa wanini kama sio mzigo tu.
Hivi hujawahi kuona mabinti wakali na wenye hela zao tena za kumwaga wanawashobokea waume za watu?yaani nitashangaa kimada aseme anatembea na mume wa mtu kwa mapenzi, na nitamshangaa kimada anaetembea na mume wa mtu bila pesa, sasa wanini kama sio mzigo tu.
Hivi hujawahi kuona mabinti wakali na wenye hela zao tena za kumwaga wanawashobokea waume za watu?
Mwambie huyo naona haelewi maanaKwahiyo kama mme wa mtu hana hela huna time naye siyo? Una experience ya muda gani?
yaani nitashangaa kimada aseme anatembea na mume wa mtu kwa mapenzi, na nitamshangaa kimada anaetembea na mume wa mtu bila pesa, sasa wanini kama sio mzigo tu.
Hoja yangu hapo ni kuwa si kila mwanamke anayetoka na mme wa mtu anachuna. Kuna miziki mingine jamani kina dada wanakuwa hawana jinsi. Mwisho wa shughuli wanajikuta wao ndio wanakata mshiko. Jamani mitarimbo mingine ina nguvu kama sumaku. Jaribuni muone....sio wajanja hao.....sasa unashobokea cha mtu wakati huna faida nacho?...
Hivi unaimba Dar Modern Taarab au Jahazi?Mwambie huyo naona haelewi maana
Kweli unayoyasema... na kuongezea msisitizo kwenye hili....mwambie:"U GET WHAT U R"!
Ukiuza chain bandia utalipwa pesa bandia sasa utamlilia nani wakati hata wewe hauko mkweli?[/QUOTE
mmh,