Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??

Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??

Basi nichune mimi. Pato la familia yako litakuwa linachangiwa na wanaume wawili, huoni kama ni dili hilo?

back to topic pse!
leo kuna hangover? ngoja nimtafutie mama matesha buzi yani kutakua na mtu anachangia kwenye familia yako kama ww unavyochangia!
 
back to topic pse!
leo kuna hangover? ngoja nimtafutie mama matesha buzi yani kutakua na mtu anachangia kwenye familia yako kama ww unavyochangia!

Utakuwa umefanya la maana kweli yani
 
back to topic pse!
leo kuna hangover? ngoja nimtafutie mama matesha buzi yani kutakua na mtu anachangia kwenye familia yako kama ww unavyochangia!
Vipi unataka kuresti in piis?

Now back to the topic. Hivi hii thread inasemaje? Ahaa kwamba kwanini mnatupenda waume wa watu? Haya twende kazi!
 
Vipi unataka kuresti in piis?

Now back to the topic. Hivi hii thread inasemaje? Ahaa kwamba kwanini mnatupenda waume wa watu? Haya twende kazi!

kwa sababu mnachunika kirahic, mie ndio mana kuna wakati niligoma kutoa pesa yangu ndani mana nikifikiria huko nje anatoa bila mawazo haa inakera sana.
 
'

haa maswali mengine jamani...atleast nimecheka mana nilikuwa nimejinunia tu hapa!....
Goodmorning dada!

Eti ni kwanini siku hizi mnapenda kuwa single halafu mnatupenda vikongwe sisi tena waume za wanawake wenzenu?
 
Goodmorning dada!

Eti ni kwanini siku hizi mnapenda kuwa single halafu mnatupenda vikongwe sisi tena waume za wanawake wenzenu?

g'mrng kaka! coz mnachunika kalaini.........
 
Kila mtu huwa anaona mambo yanayomzunguka. Kama wanawake wengi unaokutana nao ni wa aina hiyo, ukweli ni kwamba you are a type of a guy who attracts those kind of women. To another type of a guy, things would be totally different.

So, it's not the fact, but you.

Mimi kwangu ni kinyume, wanawake naokutana nao wote wanataka everlasting relationship, and they have never been after money, even for once. But this is not the fact, it's me!

Wanasema, ukivaa miwani ya blue, basi kila kitu kinaonekana cha blue, but it's not the fact, ni miwani.

Kweli unayoyasema... na kuongezea msisitizo kwenye hili....mwambie:"U GET WHAT U R"!
Ukiuza chain bandia utalipwa pesa bandia sasa utamlilia nani wakati hata wewe hauko mkweli?
 
Sasa ndio mchune waume za watu? Kwanini msichunane nyie kwa nyie?
Waume za watu wanachunika kirahisi bwana anakuja na mastress yake unapoza unambembeleza ahahah wallet inafunguka yenyewe
 
Waume za watu wanachunika kirahisi bwana anakuja na mastress yake unapoza unambembeleza ahahah wallet inafunguka yenyewe
Kwahiyo kama mme wa mtu hana hela huna time naye siyo? Una experience ya muda gani? Anyaway umezawadiwa hii:
The Following User Says Thank You to Salha For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
Hivi hujawahi kuona mabinti wakali na wenye hela zao tena za kumwaga wanawashobokea waume za watu?

sio wajanja hao.....sasa unashobokea cha mtu wakati huna faida nacho?...
 
Ningependa sana kama anaweza kujitokeza/wakajitokeza wadada kadhaa hapa wakaweza kuweka uwazi wa hili jambo.
maana raha ya ngoma uingie uicheze, kama ni kuumizwa awe ameumizwa au kama alitaka tu kuwa single family lijulikane pia,
na kama amekosa tujue pia maoni yenye mifano halisi itatusaidia na kuwa na takwimu bubu..

Asanteni
 
sio wajanja hao.....sasa unashobokea cha mtu wakati huna faida nacho?...
Hoja yangu hapo ni kuwa si kila mwanamke anayetoka na mme wa mtu anachuna. Kuna miziki mingine jamani kina dada wanakuwa hawana jinsi. Mwisho wa shughuli wanajikuta wao ndio wanakata mshiko. Jamani mitarimbo mingine ina nguvu kama sumaku. Jaribuni muone....

Mwambie huyo naona haelewi maana
Hivi unaimba Dar Modern Taarab au Jahazi?
 
Back
Top Bottom