Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??




Hapa haongei mtu yanaongea majeraha. Pole, naona yamekukuta yakukukuta. Wanaume si makorokocho. Avoid generalization. Shida siku hizi wanawake wengi (sio wote) wanajirahisi sana mpaka thamani yao inapungua. Ukitulia na kujiheshimu lazima upate mme (nasema tena lazima). Lakini ukiwa mwarumwaru wavulana watakuchezea na kukuacha na baadae una-generalize kuwa wanaume ni makorokocho. Hakuna mwanaume anayependa kuoa mke mwarumwaru. Lakini kwa wale wanaopiga part-time mwarumwaru si taabu maana anajua ni temporary service.
 

Naona leo mipaho kwa kwenda mbele....Unakaribia kumpiku mzee yusuph....aramba arambaaaa,aaam.
 
To be honest wewe (una sura mbaya) na una nyama ya ulimi tamu....
Lakini kumbuka jambo hili: beauty is in the eyes of beholder!

Hapo kwenye red inaelekea mwalimu wako wa Inglishi hakukufundisha vema. Hebu kaisome vizuri signecha ya mtumishi bigirita. Au noja nikusogezee kwa hapa

beauty is in the eyes of beer holder

Halafu kamata hii: SENKSI!!!
 
Ondoa boriti lililo katika jicho lako kisha utaza kibanzi kilicho katika jicho la mwenzako.....!!!
 
Wanapenda waume za watu kwa sababu hawakabi sana...si wana wake zao??? Lazima wawahi home kwa wake zao.
 
Thubutuuuuuuuuuuuuuu! Muulize Charity kama alishawahi kuambulia senti zangu!:closed_2:

unachunwa....mie ndio mana nasemaga nikilikuta cku hiyo litanitambua, haliwezi kuniharibia budget ya familia kwa tamaa zake....nitaharibu kabisa....na kama ume note sie wake zenu tukiwaambia hebu nipe 50 hapo kuna hivi na vile utaambiwa haikuwa kwenye budget subiri kesho, huko nje mnatoa kama hamna akili nzuri vile...nachukia kweli.
 
Hapo unalizungumzia li nani?
 
Aisee kale kabatani sikaoni. Ngoja nikupe manually
The following User says SENKI U for this useful POST
Da Womanizer (Today)
 
kila mwanamke anapenda kuolewa, sema tunakutana kila siku na small boys wasiojua thamani ya mwanamke, ndo maana tunapenda kuwa single

alafu wanaume wengine bwana wa ajabu sana, uusipomwabia shida zako anaokuona unadharau, ukimwambia anahisi unataka kumchuma hivi mnataka nini lakini
 
Teh teh teh Teh! Mtu chake apendacho.... baa medi, beki tatu, Mama Lishe....!
 
Mwambie kwa kipimo sio kwa sababu yeye ni bf wako basi unammwagia kila kitu hadi inafikia point mtu anaanza kujiuliza ina maana kabla hamjakutana mlikuwa mnaishije????
 

na mwingine ukimwambia ndio umemkimbiza...kazi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…