kwa nini siku hizi watu wengi wanaumwa vidonda vya tumbo na UTI kuliko miaka ya 2000 kurudi nyuma?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Ukichukua watu kumi wa mjini ni nadra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo.

Mara ya kwanza nasikia kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja jijini DSM.

Cha kushangaza miakq ya hivi karibuni imekuwa kama fasheni hasa vijana wa kike na wa kiume kusumbulliwa na UTI.

Tatizo ni nini, hasa vidonda vya tumbo hadi watoto wadogo wa shule ya msingi.

Wajuvi hii kitu imekaaje.?
 
Ukichukua watu kumi wa mjini ni nqdra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo.

Mara ya kwanzs nasikiq kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja jijini DSM.

Wanywe maji mengi
 
Hii ni sindicate kubwa duniani wenye biashara ya madawa wanauza sana
Ni staili ya leta tatizo tatua tatizo
Hawa jamaa Wana hela nyingi wakiitaka Jamba lao lipite wanahonha mpaka vijiserekali vyetu kupitia wizara za afya ni mafia Hawa wahusika wanatengeneza magonjwa alafu wanatengeneza dawa

Ni kweli watu wengi wanatumwa tumbo hapa Kuna mission wanataka ku accomplish
 
Aisee
 
Elimu ni duni, wataalam wa Afya ndo kinara wa kuongea uongo kuhusu magonjwa haya mawili.( mda mwingine najiuliza huko college huwa wanaenda kufanya niini)

. Utakuta daktari kabisa anakuambia vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo au kutokula kwa wakati 🗑️🚮🚮🚮
 
Kwa case ya vidonda
-sababu ni nyingi mfano ulaji wa pipi na Big G, kulakula bila mpangilio, H pylori, stress

Kwa kesi ya UTI ni matumizi ya choo za maji, zamani watu wanazama porini kukata gogo, mwanamke anapojisafisha anus baada ya kukata gogo, Kuna bacteria huwa wanaitwa Escherichia coli (wapo kwenye kinyesi) wanaweza ingia kwenye k wakati wa kujisafisha that's why women are more vulnerable to UTI tha gentleman,,,,,,
 
Hii ni sindicate kubwa duniani wenye biashara ya madawa wanauza sana
Ni staili ya leta tatizo tatua tatizo
Hawa jamaa Wana hela nyingi wakiitaka Jamba lao lipite wanahonha mpaka vijiserekali vyetu kupitia wizara za afya ni mafia Hawa wahusika wanatengeneza magonjwa alafu wanatengeneza dawa

Ni kweli watu wengi wanatumwa tumbo hapa Kuna mission wanataka ku accomplish
Kama Corona. Haikumalizwa kwa dawa wala kujikinga. Iliisha kwa kutaliwa. Walipoona haitoboi wakaibua vita Russia na Ukraine. Mainstreqm media zote zikaachana na Corona zikqhamia vitani.
 
Elimu ni duni, wataalam wa Afya ndo kinara wa kuongea uongo kuhusu magonjwa haya mawili.( mda mwingine najiuliza huko college huwa wanaenda kufanya niini)

. Utakuta daktari kabisa anakuambia vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo au kutokula kwa wakati 🗑️🚮🚮🚮
Jirani yangu anasema amemuambikiza mtoto wake vidonda vya tumbo. Na mtoto qmeaminishwa hivyo na yeye anasema anavidonda vya tumbo. Yaani vinafanywa kama mafua tu. Mtoto hata hata mawazo kwanza ndio kaingia form one.
 
Hii ni sindicate kubwa duniani wenye biashara ya madawa wanauza sana
Ni staili ya leta tatizo tatua tatizo
Hawa jamaa Wana hela nyingi wakiitaka Jamba lao lipite wanahonha mpaka vijiserekali vyetu kupitia wizara za afya ni mafia Hawa wahusika wanatengeneza magonjwa alafu wanatengeneza dawa

Ni kweli watu wengi wanatumwa tumbo hapa Kuna mission wanataka ku accomplish
that's really said tatzo uelewa WA watuu
 
Jirani yangu anasema amemuambikiza mtoto wake vidonda vya tumbo. Na mtoto qmeaminishwa hivyo na yeye anasema anavidonda vya tumbo. Yaani vinafanywa kama mafua tu. Mtoto hata hata mawazo kwanza ndio kaingia form one.
Ndiyo vidonda vya tumbo vinaambukizwa kwa njia zifuatazo

1. Kuambukizwa mtu moja kwenda mtu mwingine ( kwa njia ya denda-mdomo kwa mdomo )

2. Kushirikiana vifaa vya kulia chakula( vijiko, sahani, bakuri ikiwa havita oshwa kwa maji moto)

3. Matumizi holela ya dawa za kutuliza maumivu ( ibuprofen, Aspirin na nyinginezo )

4. Matumizi maji machafu, yasiyochemshwa( maji yaliyotuama/visimani

Kwa njia zote hapo juu ni rahisi na haraka Kuambukizwa mdudu aina ya H. Pylori.

NB: Vidoonda vya tumbo havina rika wala umri, mtu yeyote anaweza Kuambukizwa.
 
Mbona zamani havikuwepo, au watu hawakujua kama wanaumwa. Kwa nini rate imekuwa kubwa siku za karibuni mkuu wakati ambapo umakini wa kiafya umeongezeka sana
 
Mabadliko ya hali ya hewa.

Zaman ilikuwa wadudu kama
. Chawa
. Utitiri
. Papas
Ndo ilikuwa tishio zaidi,
 
Mabadiliko ya hali ya hewa afrika au duniani mbona kwingineko hatusikii
Kila taifa, ina matatizo yake, angalia hapo congo kuhusu Monkey pox, murbug, na ebola. Kila kukicha hayaishi.

.

Ingawa vidonda vya tumbo tatizo ni POOR HYGIENE
 
Mbona zamani havikuwepo, au watu hawakujua kama wanaumwa. Kwa nini rate imekuwa kubwa siku za karibuni mkuu wakati ambapo umakini wa kiafya umeongezeka sana
Unaongelea umakini upi wa Afya?,....au we mwenzetu haupo tz?🤔🤔
 
Back
Top Bottom