kwa nini siku hizi watu wengi wanaumwa vidonda vya tumbo na UTI kuliko miaka ya 2000 kurudi nyuma?

Kuna magonjwa yanazalishwa na utandawazi kuendana na mfumo wa maisha namna unavyoenda unabadili taratibu za mazingira vyakula na nidhamu kwa ujumla.

Zamani hata kichocho ilikuwa ni tatizo kubwa lkn hapa dar ukisikia kuna kichocho basi tumerudi nyuma miaka 40 iliyopita.
 
1. BP
2. KISUKARI
3. TYPHOID
4. MAGONJWA YA MIFUPA
5. CANCER
6. VIDONDA TUMBO
7. GONO
8. U.T.I
Aisee haya magonjwa yamepamba moto, huko histopathology tunaletewa nyama utazani tupo buchani
 
Ndiyo vidonda vya tumbo vinaambukizwa kwa njia zifuatazo

1. Kuambukizwa mtu moja kwenda mtu mwingine ( kwa njia ya denda-mdomo kwa mdomo )

2. Kushirikiana vifaa vya kulia chakula( vijiko, sahani, bakuri ikiwa havita oshwa kwa maji moto)

3. Matumizi holela ya dawa za kutuliza maumivu ( ibuprofen, Aspirin na nyinginezo )

4. Matumizi maji machafu, yasiyochemshwa( maji yaliyotuama/visimani

Kwa njia zote hapo juu ni rahisi na haraka Kuambukizwa mdudu aina ya H. Pylori.

NB: Vidoonda vya tumbo havina rika wala umri, mtu yeyote anaweza Kuambukizwa.
Wengi mnachanganya kati ya kua na H.pylori na vidonda vya tumbo
The two are not synonymous to each other
Mtu anaweza kua na h.pylori lkn akaishia kupata gastritis tu , Sasa tatizo linakuja pale kila mtu mwenye h.pylori positive kuambiwa kua ana vidonda vya tumbo,kosa kubwa hili.
Confirmation of peptic ulcer need OGD not these antibodies/antigen test.
Kwa hiyo sio sahihi kusema PUD inaambukizwa kupitia maji sijui vyakula, kinachosambazwa hapo ni bacteria anaeitwa H.pylori
Sasa prevalence of h.pylori is high in these third world countries,almost 70% of the population at certain point in their life has been exposed to and contacted this pathogen
Case ya UTI nayo vile vile , Kwa sababu standard diagnosis nayo sio hii tunayoifanya
Urine sample most of the times inakua contaminated ,kasheshe inaanzia hapo
Mtu Hana hata zile dalili ya urinary tract lkn vile urine routine inasema kua kuna leucocytes+1 ,anapewa diagnosis ya UTI
 
Mkuu kwa mantiki hiyo unataka kusema majibu ya rapid test zote (Antigen+antibody=Reaction) hayatakiwi kutiliwa maanani hadi pale confirmatory test itakapo fanyika?? Je unajua pia hata hizo confirmatory test ni hadimu kwenye vituo vyetu??
 
Ukisoma nilichoandika hapo utaelewa vizuri tu. Huko kwenye OGD umeenda mbali sana( yani ni sawa na mtu anaumwa Acute influenza, alafu unampa referrer aende muhimbili kutibiwa.)

. Antigen test ni tosha kabisa kufanya confirmation ya ULCERS.

. Kwa hivyo, kila gastric ulcer ni peptic ulcer, lakini si kila peptic ulcer ni gastric ulcer
 
Hapana ,sijasema kua yasitiliwe maanani
All H.pylori positive must be treated accordingly, 2 weeks of triple therapy followed by 4 weeks of PPI
Symptomatic Urinary tract infection with presence of leucocytes and pus cells on urinalysis must be treated
Mm shida yangu ni wale madaktari wanaowaambia watu kua wana vidonda vya tumbo sababu H.pylpri antigen/antibodies imesoma positive
 
Ukisoma nilichoandika hapo utaelewa vizuri tu. Huko kwenye OGD umeenda mbali sana( yani ni sawa na mtu anaumwa Acute influenza, alafu unampa referrer aende muhimbili kutibiwa.)

. Antigen test ni tosha kabisa kufanya confirmation ya ULCERS.

. Kwa hivyo, kila gastric ulcer ni peptic ulcer, lakini si kila peptic ulcer ni gastric ulcer
Hapana Mzee ,nitakupinga mpaka kesho
Yaani mtu itokee amepata H.pylori Leo ,baada ya wiki atakua amedevelop pud
Basi ingekua balaa Sasa
Hiyo antigen test kua confirmation ya pud umeitolea wapi mkuu, sikumbuki kusoma kitu cha namna hiyo
Sasa utamuambiaje mtu ana kidonda bila ya kukiona?
 
.
Kwa hiyo sio sahihi kusema PUD inaambukizwa kupitia maji sijui vyakula, kinachosambazwa hapo ni bacteria anaeitwa H.pylori
Kwa hiyo source ya PUD, ACID REFLUX ni nini??

😁😁😁, Nenda kapitie notes Kisha ludi tufanye mdahalo..
 
Hapana Mzee ,nitakupinga mpaka kesho
Yaani mtu itokee amepata H.pylori Leo ,baada ya wiki atakua amedevelop pud
Basi ingekua balaa Sasa
Hiyo antigen test kua confirmation ya pud umeitolea wapi mkuu, sikumbuki kusoma kitu cha namna hiyo
Sasa utamuambiaje mtu ana kidonda bila ya kukiona?
Mimi sijasema hivyo mkuu,

Ngoja nikukumbushe kitu kinaitwa Phases of bacteria( kapitie hapo)

Na ku-delevelop kwa bacteria ina depend na immunity ya mtu, na ndo maana waliowengi wapo kama carriers tu wa h. Pylori .
 
kati ya vitu ambavyo vimebeba sana wadudu hawa wa homa za matumbo km PUD,GASTRITIS and alike ni pesa ,yani hela/pesa ni chafu kupindukia kwasababu inazunguka kwenye mikono ming michafu na vile watz hatuna ustaarabu wa kunawa ndio bas tena tuumwe tu
 
Mzee wewe ni Genius. Hiki kisababishi inawezekana ndiyo kinaongoza na wengi hawajagundua bado.
 
Back
Top Bottom