matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wanywe maji mengiUkichukua watu kumi wa mjini ni nqdra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo.
Mara ya kwanzs nasikiq kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja jijini DSM.
Cha kushangaza miakq ya hivi karibuni imekuwa kama fasheni hasa vijana wa kike na wa kiume kusumbulliwa na UTI.
Tatizo ni nini, hasa vidonda vya tumbo hadi watoto wadogo wa shule ya msingi.
Wajuvi hii kitu imekaaje.?
Hii ni sindicate kubwa duniani wenye biashara ya madawa wanauza sanaUkichukua watu kumi wa mjini ni nqdra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo.
Mara ya kwanzs nasikiq kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja jijini DSM.
Cha kushangaza miakq ya hivi karibuni imekuwa kama fasheni hasa vijana wa kike na wa kiume kusumbulliwa na UTI.
Tatizo ni nini, hasa vidonda vya tumbo hadi watoto wadogo wa shule ya msingi.
Wajuvi hii kitu imekaaje.?
AiseeHii ni sindicate kubwa duniani wenye biashara ya madawa wanauza sana
Ni staili ya leta tatizo tatua tatizo
Hawa jamaa Wana hela nyingi wakiitaka Jamba lao lipite wanahonha mpaka vijiserekali vyetu kupitia wizara za afya ni mafia Hawa wahusika wanatengeneza magonjwa alafu wanatengeneza dawa
Ni kweli watu wengi wanatumwa tumbo hapa Kuna mission wanataka ku accomplish
Zamani ulikuwa unaitwaje huu ugonjwa?.Kwan U.T.I haikuwepo zamani sema tu tecnolojia imesaidia watu kuyajua haya magonjwa kiuharaka sana ila u.t.i ipo long time
sending forth heat from the bladder".Zamani ulikuwa unaitwaje huu ugonjwa?.
Sikuwahi kuusikia aisee.sending forth heat from the bladder".
Ndo jina la utani la U.T.ISikuwahi kuusikia aisee.
Kama Corona. Haikumalizwa kwa dawa wala kujikinga. Iliisha kwa kutaliwa. Walipoona haitoboi wakaibua vita Russia na Ukraine. Mainstreqm media zote zikaachana na Corona zikqhamia vitani.Hii ni sindicate kubwa duniani wenye biashara ya madawa wanauza sana
Ni staili ya leta tatizo tatua tatizo
Hawa jamaa Wana hela nyingi wakiitaka Jamba lao lipite wanahonha mpaka vijiserekali vyetu kupitia wizara za afya ni mafia Hawa wahusika wanatengeneza magonjwa alafu wanatengeneza dawa
Ni kweli watu wengi wanatumwa tumbo hapa Kuna mission wanataka ku accomplish
Jirani yangu anasema amemuambikiza mtoto wake vidonda vya tumbo. Na mtoto qmeaminishwa hivyo na yeye anasema anavidonda vya tumbo. Yaani vinafanywa kama mafua tu. Mtoto hata hata mawazo kwanza ndio kaingia form one.Elimu ni duni, wataalam wa Afya ndo kinara wa kuongea uongo kuhusu magonjwa haya mawili.( mda mwingine najiuliza huko college huwa wanaenda kufanya niini)
. Utakuta daktari kabisa anakuambia vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo au kutokula kwa wakati ๐๏ธ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
that's really said tatzo uelewa WA watuuHii ni sindicate kubwa duniani wenye biashara ya madawa wanauza sana
Ni staili ya leta tatizo tatua tatizo
Hawa jamaa Wana hela nyingi wakiitaka Jamba lao lipite wanahonha mpaka vijiserekali vyetu kupitia wizara za afya ni mafia Hawa wahusika wanatengeneza magonjwa alafu wanatengeneza dawa
Ni kweli watu wengi wanatumwa tumbo hapa Kuna mission wanataka ku accomplish
Ndiyo vidonda vya tumbo vinaambukizwa kwa njia zifuatazoJirani yangu anasema amemuambikiza mtoto wake vidonda vya tumbo. Na mtoto qmeaminishwa hivyo na yeye anasema anavidonda vya tumbo. Yaani vinafanywa kama mafua tu. Mtoto hata hata mawazo kwanza ndio kaingia form one.
Mbona zamani havikuwepo, au watu hawakujua kama wanaumwa. Kwa nini rate imekuwa kubwa siku za karibuni mkuu wakati ambapo umakini wa kiafya umeongezeka sanaNdiyo vidonda vya tumbo vinaambukizwa kwa njia zifuatazo
1. Kuambukizwa mtu moja kwenda mtu mwingine ( kwa njia ya denda-mdomo kwa mdomo )
2. Kushirikiana vifaa vya kulia chakula( vijiko, sahani, bakuri ikiwa havita oshwa kwa maji moto)
3. Matumizi holela ya dawa za kutuliza maumivu ( ibuprofen, Aspirin na nyinginezo )
4. Matumizi maji machafu, yasiyochemshwa( maji yaliyotuama/visimani
Kwa njia zote hapo juu ni rahisi na haraka Kuambukizwa mdudu aina ya H. Pylori.
NB: Vidoonda vya tumbo havina rika wala umri, mtu yeyote anaweza Kuambukizwa.
Mabadliko ya hali ya hewa.Mbona zamani havikuwepo, au watu hawakujua kama wanaumwa. Kwa nini rate imekuwa kubwa siku za karibuni mkuu wakati ambapo umakini wa kiafya umeongezeka sana
Mabadiliko ya hali ya hewa Afrika au duniani mbona kwingineko hatusikiiMabadliko ya hali ya hewa.
Zaman ilikuwa wadudu kama
. Chawa
. Utitiri
. Papas
Ndo ilikuwa tishio zaidi,
Kila taifa, ina matatizo yake, angalia hapo congo kuhusu Monkey pox, murbug, na ebola. Kila kukicha hayaishi.Mabadiliko ya hali ya hewa afrika au duniani mbona kwingineko hatusikii
Unaongelea umakini upi wa Afya?,....au we mwenzetu haupo tz?๐ค๐คMbona zamani havikuwepo, au watu hawakujua kama wanaumwa. Kwa nini rate imekuwa kubwa siku za karibuni mkuu wakati ambapo umakini wa kiafya umeongezeka sana