Kwa nini siku hizi Zitto Kabwe ameaamua kujachia midevu kibao

Hakuna aliyejua kwamba Sefi Sharrif Hamad ana midevu mingi wakati yuko serikalini. Alikuwa smart hana udevu hata mmoja. Lakini Seif alipofukuzwa CCM na kuwekwa gerezani, alipotoka huko akawa ni mtu midevu mingi hadi leo.

Sasa kuna huyu Zitto Kabwe. Huyu naye alipokuwa CHADEMA hakuwa hata na udevu mmoja. Alipofukuzwa CHADEMA akakaa miaka kadhaa naye akaanza kufunga midevu.

Tena mikwa usahihi zaidi ni kwamba midevu ya Zitto Kabwe imezidi baada ya kuoa na inaelekea haipitishi kitana.

Wataalam wa saikolojia saidieni kelimisha, asili ya midevu baada ya tukio fulani ina maana gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna aliyejua kwamba Sefi Sharrif Hamad ana midevu mingi wakati yuko serikalini. Alikuwa smart hana udevu hata mmoja. Lakini Seif alipofukuzwa CCM na kuwekwa gerezani, alipotoka huko akawa ni mtu midevu mingi hadi leo.

Sasa kuna huyu Zitto Kabwe. Huyu naye alipokuwa CHADEMA hakuwa hata na udevu mmoja. Alipofukuzwa CHADEMA akakaa miaka kadhaa naye akaanza kufunga midevu.

Tena mikwa usahihi zaidi ni kwamba midevu ya Zitto Kabwe imezidi baada ya kuoa na inaelekea haipitishi kitana.

Wataalam wa saikolojia saidieni kelimisha, asili ya midevu baada ya tukio fulani ina maana gani?
Eti wewe ni Post-graduate candidate halafu unakuja na mada ya kuhoji ndevu za mtu!!

Mchunguze tena utuambie anavaa boxer rangi zipi kwa nyakati hizo ulizozitaja.
 
Soma maana ya hili jukwaa. Huku siyo siasa.
 
Nimeongea na mkewe,kaniambia UNGEIONA MIVU....mbi ya huko chini,UNGEIZUNGUKA DUNIA KWA KICHEKO
 
Back
Top Bottom