Kwa nini Simba ndo wamechanganyikiwa zaidi kuliko Yanga?

Kwa nini Simba ndo wamechanganyikiwa zaidi kuliko Yanga?

Huyo Djuma na Ki hawakuwa maarufu kabla na yanga waliwaona kwenye mechi za simba. Hao umaarufu wameipatia yanga kabla hawakuwa na umaarufu wowote. Ni kama mayele tuu amekuja bongo ndio kapata umaarufu b4 hakuna aliyemjua. Yanga ilishindwa vipi kwa chivavilo?
Labda ushamba wako tu Djuma Shabani alikua star kitambo sana kipindi mnasokomezwa mkono [emoji2772] na AS Vita ndio aliongoza jeshi
 
Ulivyoandika tu hivi "mchongo wa MO" umejitambulisha tayari kuwa we ni Uto lia lia [emoji23] [emoji23]
Hebu itahidi kusaidia Uto wahame kwenye mfumo wa NBC league yenye kuruhusu mchezaji aliye offside to go hadi kufunga, badala yake wajipange kutumia ujuzi wa kisomi kupata mabao halali kama yale ya CR walivyowalamba 3 kavu [emoji16][emoji16]

Hiyo ligi ya CAF hainaga magoli ya kuotea ama kununua.

Mie ni shabiki wa Simba nipo sawa kabisa, iweje wewe uwasemee mashabiki wa Simba?

Nenda tu ukadili na kuchomoa mwiko nyuma.

Simba ni ile ile nguvu moja.
Ni kweli hakuna Tatu Malogo
 
Back
Top Bottom