sijui hawajui maana ya kuwa muwakilishi wa wananchi,wanajali matumbo yao tuWabunge nchi hii wako kama pazia tu mlangoni
mi naona imeleta usumbufu kwa abiriaWanataka mji upanuke na kidogo igumbilo watu wameanza kujenga
Ipogolo sijawah paelewa
Ila sio mbali kiivo tofaut na dar stand ya mbezi ni mbali Kwa wengimi naona imeleta usumbufu kwa abiria
Tenipasenti ya Igumbilo ilikuwa imenona, hapo Sasa kinachotakiwa lijengwe barabara kabla ya kuingia mjini iteremke ikutane na inayotoka Kitonga.Wakati watawala wa CCM wana design na kujenga stendi ya bus Iringa eneo la Igumbilo walikuwa wana mpango gani kuhusu bus za route ya Njombe na Mbeya kuelekea au kutoka Dodoma?
Hata mimi nalifikiri hivi, maana hizi stendi kila mji zingaliwekwa mijini basi misongamano ingezidi sana, hata ile ya Sumbawanga imejengwa nnje ya mji nayo kwa fikira zangu naona yakuwa ni sawa, nakubali kukosolewa.Wanataka mji upanuke na kidogo igumbilo watu wameanza kujenga
Ipogolo sijawah paelewa
Umbali ni mkuu sana sehemu nauli 1000/= kwa bajajiKuna umbali gani kati ya hizo sehemu
Kila upande ni sawa kikubwa ni wataalamu wa mipango miji walifanya tathmini na wakajiridhisha upande upi iwekwe stendi ndio ikawekwa hapo, mimi ni muumini wa kuipanga upya miji yetu kwakweli, na moja kubwa ni kupunguza baadhi ya miardi/ofisi na masoko kuviweka pembezoni mwa miji yetu.Kwa hiyo mji wa Iringa unapanuka kuelekea uelekeo mmoja tu wa Ilula?