Nimecheki kwenye ramani naona mji mkubwa upo hapo ipogolo, ila umbali wa kama 8km au 9km kutoka ipogolo kwenda igumbilo.Umbali ni mkuu sana sehemu nauli 1000/= kwa bajaji
Kila upande sio sawa kama unasafiri kutoka Songea, Njombe au Mbeya kwenda Dodoma kwa bus.Kila upande ni sawa kikubwa ni wataalamu wa mipango miji walifanya tathmini na wakajiridhisha upande upi iwekwe stendi ndio ikawekwa hapo, mimi ni muumini wa kuipanga upya miji yetu kwakweli, na moja kubwa ni kupunguza baadhi ya miardi/ofisi na masoko kuviweka pembezoni mwa miji yetu.
Mfano huu umradi wa kupeleka Container Kwala kule vigwaza lengo lilikuwa zuri sana sasa mtihani ni utekelezaji wake.
Fikiria mtu anayesafiri kutoka Njombe kuelekea Dodoma anatakiwa akifika Iringa asafiri huo umbali mara mbili ndio aweze kuendelea na safari kisa tu bus linatakiwa kupitia stendi likifika Iringa na Stendi Iko kushoto.Nimecheki kwenye ramani naona mji mkubwa upo hapo ipogolo, ila umbali wa kama 8km au 9km kutoka ipogolo kwenda igumbilo.
Kwa huku dasilamu ni kama kutoka kariakoo kwenda airport
Wakati watawala wa CCM wana design na kujenga stendi ya bus Iringa eneo la Igumbilo walikuwa wana mpango gani kuhusu bus za route ya Njombe na Mbeya kuelekea au kutoka Dodoma?
Wakati watawala wa CCM wana design na kujenga stendi ya bus Iringa eneo la Igumbilo walikuwa wana mpango gani kuhusu bus za route ya Njombe na Mbeya kuelekea au kutoka Dodoma?
Sijawahi kufika maeneo hayo ila nawaunga mkono, kikubws tu wananchi waitumie hiyo stendi.Fikiria mtu anayesafiri kutoka Njombe kuelekea Dodoma anatakiwa akifika Iringa asafiri huo umbali mara mbili ndio aweze kuendelea na safari kisa tu bus linatakiwa kupitia stendi likifika Iringa na Stendi Iko kushoto.
Chuma hazilazimishwi? hata huku town stend kadhaa tu huwa kama zimetelekezwaStendi yenyewe iko kama gofu kwa sasa.
Unakosolewa kuwa hazitumiki. Zipo mbali na miji, watu kuwahi hizo stendi asubuhi ni hatari sana kwa abiria, hususani nyakati hizi mabasi yanaanza safari saa 8 usiku.Hata mimi nalifikiri hivi, maana hizi stendi kila mji zingaliwekwa mijini basi misongamano ingezidi sana, hata ile ya Sumbawanga imejengwa nnje ya mji nayo kwa fikira zangu naona yakuwa ni sawa, nakubali kukosolewa.
Sawa kabisa nakubaliana na wewe mkuu kikubwa nafikiri kulipaswa kufanyika pia na hiyo tathmini ya njia rahisi ya washtiri kufika huko kwaajili ya kupata usafiri, hilo lipo kwa kila upande ungepewa fursa ya kutoa maoni yake, naamini katika hilo la kupunguza baadhi ya huduma kutoka kati kati ya miji ili kupunguza misongamano.Unakosolewa kuwa hazitumiki. Zipo mbali na miji, watu kuwahi hizo stendi asubuhi ni hatari sana kwa abiria, hususani nyakati hizi mabasi yanaanza safari saa 8 usiku.
Pia ni hasara kwa halmashauri na wananchi wake, mfano kule Dodoma Nanenane abiria hawapendi kwenda, matokeo ni kuwa mabasi yamejenga stendi zao mjini. Stendi iliyojengwa kwa mabilioni haitumiki.Sawa kabisa nakubaliana na wewe mkuu kikubwa nafikiri kulipaswa kufanyika pia na hiyo tathmini ya njia rahisi ya washtiri kufika huko kwaajili ya kupata usafiri, hilo lipo kwa kila upande ungepewa fursa ya kutoa maoni yake, naamini katika hilo la kupunguza baadhi ya huduma kutoka kati kati ya miji ili kupunguza misongamano.
Mkuu kwenye hilo pande zote inabidi tubebe lawama, hata wananchi , wenye mabasi kususia hizo stendi wote kwa pamoja tunachangia kuzihujumu, madhari stendi zishajengwa tuzifate tuPia ni hasara kwa halmashauri na wananchi wake, mfano kule Dodoma Nanenane abiria hawapendi kwenda, matokeo ni kuwa mabasi yamejenga stendi zao mjini. Stendi iliyojengwa kwa mabilioni haitumiki.
Mfano Dar ile stendi ya Magufuli, mabasi ya Tanga, Arusha nk hayataki kuingia stendi yanaanzia safari kwenye terminal zao na kuishia huko, angalia sasa jinsi wananchi tunavyoingia hasara.
Sasa hivi magomeni na shekilango kote kumegeuka terminal za mabasi
Kaka wenye mabasi wanasema, wanalipa ushuru ila basi haliendi. Wewe utakwenda stendi kufanya nini? Wewe unakwenda ila basi haliji, unapanda mikweche isiyo na terminal zaoMkuu kwenye hilo pande zote inabidi tubebe lawama, hata wananchi , wenye mabasi kususia hizo stendi wote kwa pamoja tunachangia kuzihujumu, madhari stendi zishajengwa tuzifate tu
Nchi ngumu sana hii, watu wetu wa mikakati wanatufelishaKaka wenye mabasi wanasema, wanalipa ushuru ila basi haliendi. Wewe utakwenda stendi kufanya nini? Wewe unakwenda ila basi haliji, unapanda mikweche isiyo na terminal zao
Igumbilo pale ni kiwanja cha singasinga mmoja anaitwa Sohali na kitu kingine pana asili ya mafuriko na eneo ni dogo ukilinganisha na Igumbilo,kuhusu gari za Mwanza,Dodoma,to Mbeya kuna barabara itajengwa au inajengwa itakayopita kupitia mwan'gingo au kihesa kilolo kupasua kwenye milima ya Gangilonga itakayolazimu hizo route zisipite Iringa Mjini,kwangu mimi wazo lilikuwa nzuri kuliko kuweka stendi kwenye makazi ya watuWakati watawala wa CCM wana design na kujenga stendi ya bus Iringa eneo la Igumbilo walikuwa wana mpango gani kuhusu bus za route ya Njombe na Mbeya kuelekea au kutoka Dodoma?
Yani mtu anatoka Sinza aache kupanda bus Shekilango aende kupanda Mbezi Magufuli? Hizo zitakuwa akili au matope?!Mkuu kwenye hilo pande zote inabidi tubebe lawama, hata wananchi , wenye mabasi kususia hizo stendi wote kwa pamoja tunachangia kuzihujumu, madhari stendi zishajengwa tuzifate tu
Kuna suala la usalama na usafiri pia. Dar ni tofauti kidogo na mkoani. Hapa 24hrs usafiri unapata hata usalama angalao upo maana njia zenyewe mnapita kwenye makazi ya watu.Hata mimi nalifikiri hivi, maana hizi stendi kila mji zingaliwekwa mijini basi misongamano ingezidi sana, hata ile ya Sumbawanga imejengwa nnje ya mji nayo kwa fikira zangu naona yakuwa ni sawa, nakubali kukosolewa.