HUelewi wapi mkuu, kodi zishatumika kujenga magufuli stand, alafu wao wanagoma kwenda kujikita huko magufuli, serikali nayo inashindwa kuwalazimisha kukaa magufuli, huoni ni muendelezo wa hasara?Yani mtu anatoka Sinza aache kupanda bus Shekilango aende kupanda Mbezi Magufuli? Hizo zitakuwa akili au matope?!
Wangekuwa wanakihitaji hiko kiwanja cha huyo Singasinga Sohali wangeweza kukinunua au kumfidia kiwanja jingine.Igumbilo pale ni kiwanja cha singasinga mmoja anaitwa Sohali na kitu kingine pana asili ya mafuriko na eneo ni dogo ukilinganisha na Igumbilo,kuhusu gari za Mwanza,Dodoma,to Mbeya kuna barabara itajengwa au inajengwa itakayopita kupitia mwan'gingo au kihesa kilolo kupasua kwenye milima ya Gangilonga itakayolazimu hizo route zisipite Iringa Mjini,kwangu mimi wazo lilikuwa nzuri kuliko kuweka stendi kwenye makazi ya watu
Unafaa sana kuwa msemaji wa UVCCM kuhamasisha uzalendošHUelewi wapi mkuu, kodi zishatumika kujenga magufuli stand, alafu wao wanagoma kwenda kujikita huko magufuli, serikali nayo inashindwa kuwalazimisha kukaa magufuli, huoni ni muendelezo wa hasara?
Machinga complex inajengwa ila machinga bado hawataji kuondoka kariakoo, huoni ni uharibifu wa rasilimali?
Watu wa sinza wataungana na sisi wwngine wote kwenda huko magufuli,
Mbona sisi tunatoka Tuangoma tunaenda magufuli hatusemi tujengewe stendi ya mkoa hapahapa tuangoma?
Stendi kama hizo za mabasi makubwa hayo kukaa pembezoni ndo inatakiwa
Mkuu bila kulazimisha majenfi hayo yanakua magofu, kuna majengo mengi tu serikali imeshacgima hela kujenga unakuta jengo limekaa hata miaka 3 lipoUnafaa sana kuwa msemaji wa UVCCM kuhamasisha uzalendoš
Roho mbaya tu.Wakati watawala wa CCM wana design na kujenga stendi ya bus Iringa eneo la Igumbilo walikuwa wana mpango gani kuhusu bus za route ya Njombe na Mbeya kuelekea au kutoka Dodoma?
Kama wewe ni mwenyeji wa Iringa na unapajua ipogoro palivyo padogo utakubaliana na mimi,kwa ile miundombinu ya igumbilo isingewezekana kujenga stend paleWangekuwa wanakihitaji hiko kiwanja cha huyo Singasinga Sohali wangeweza kukinunua au kumfidia kiwanja jingine.
Hizo story za kupasua na kujenga milima Gangilonga ni za mwaka 2050, watu watakuwa wameshateseka sana.
Kama Ipogolo pamejaa na serikali haiwezi kufidia watu maeneo basi wangejenga Kitwiru.Kama wewe ni mwenyeji wa Iringa na unapajua ipogoro palivyo padogo utakubaliana na mimi,kwa ile miundombinu ya igumbilo isingewezekana kujenga stend pale
Kwa wasiojua Ipogolo njiapanda ya kwenda Mbeya, Dodoma na Morogoro, Igumbilo iko kwenye barabara ya kwenda Morogoro na Iringa.Kwa hiyo mji wa Iringa unapanuka kuelekea uelekeo mmoja tu wa Ilula?