Kwa nini Tunaoa? Ni Lini Ndoa ina-expire na hautakiwi kufikiri Kutoa Talaka.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya kukitumia na kukiacha siku kikiwa Expired na useless. Hiyo ni Kanuni.

Ndoa ni muunganiko wa hiyari, makubaliano ya hiyari ya Mwanaume na mwanamke kujenga Familia.
Ndoa inahusu watu wawili na sio binadamu wawili. Ndoa inahusu watu Kwa sababu watu ndio wenye Ndoa. Binadamu hawanaga kitu inaitwa Ndoa. Ila binadamu mwenye UTU ndoa itamhusu.

Watibeli tunajua kuwa ili binadamu awe mtu lazima afanye Kazi. Kwa sababu kufanya Kazi ni Moja ya SI Unit za UTU wa binadamu. Kumbuka Kazi ni shughuli aifanyayo binadamu inayomuingizia kipato cha kumfanya aweze Kuishi.

Kujifulia nguo, kujipikia, kumlea mtoto wako, na majukumu yote yanayokuhusu wewe mwenyewe hayapo kundi la Kazi. Kwa sababu hizo ni shughuli ambazo hazikuwezeshi kuishi Bali ni majukumu yako ya kila siku.

Mwanaume au mwanamke lazima afanye Kazi ili awe MTU.

Mwanamke anapokuwa Golikipa, hafanyi Kazi za kuzalisha kipato automatically anapoteza UTU wake na HAKI zake za Kupata MALI. Thamani yake ndani ya Jamii hushuka hawezi kuwa mtu isipokuwa binadamu ambaye Hana tofauti na Mnyama.

Watibeli hatuwezi kuoa binadamu asiye na Kazi Kwa sababu sio MTU.
Na ndoa inahusu watu Wawili na sio binadamu wawili wasio na UTU.

NDOA ili iwe ndoa lazima watu wawili wawe wanafanya Kazi za uzalishaji Mali.

Mwanamke ofisi yake ukawa nyumbani, akawa mfugaji, mkulima, mtengeneza vitafunio n.k. Lakini kukaa nyumbani alafu hafanyi Kazi yoyote ya uzalishaji ati ni Mama WA nyumbani hayo kwa Watibeli ni matusi makubwa. Ni kumwambia binadamu wewe sio MTU.

Kijana kabla ya kuoa lazima utambue kuna kuachana. Na kuachana ni Jambo ambalo ni HAKIKA. Watibeli tunajua kuwa Ndoa inamwanzo na inamwisho.
Kuna kuachana kwa Aina Mbili;
1. Talaka
2. Kifo.

Kabla hujaingia kwenye Ndoa lazima ujue Kabisa kuna kuachana. Ndio maana Kule juu nikakuambia lazima ujifunze namna ya kuacha Jambo au mtu au kitu kabla hujakuwa nacho ikiwa unajua Kabisa IPO siku mtaachana.

MALENGO YA NDOA YAKO KAMA IFUATAVYO;
Watu wanaoana kutokana na Sababu zifuatazo;

1. Kusaidiana na kutimiziana haja za Kimwili, Kiroho, kiakili na Kihisia.
2. Kujenga Familia na kizazi Bora.
3. Kupeana Kampani.
4. Kuzalisha Mali

Mambo hayo manne Mkuu ndio sababu zinazojitosheleza za Binadamu mwenye UTU kuingia kwenye Ndoa.
Kijana anayetafuta Mwanamke atakayemuita Mke lazima atafute mwanamke mwenye vigezo hapo juu.
Je huyo mwanamke atamsaidia Kihisia, Kimwili, kiakili na kiroho,?
Je huyo mwanamke ataweza kuijenga familia na kizazi Bora?
Je huyo Mwanamke atatoa Kampani Bora?
Je huyo mwanamke ni mchapakazi na atasaidia kuzalisha Mali?
Maelezo hayo pia kwa mwanamke yatatumika kumpata Mwanaume atakayemuita Mume.

NDOA INAPO-EXPIRE
Kwa Sisi Watibeli kuachana sio suala mtambuka. Ni Jambo lipo na ambalo Wala halitufikirishi kuliamua. Kwa sababu ni Jambo Halisi na lipo. Watibeli hatuwezi kuupinga UKWELI hilo linajulikana.
Ndio maana kwetu mambo huwa rahisi Sana Kwa sababu ukikubaliana na ukweli maisha hayawezi kukusumbua.

Mwanamke kama hakutaki ni hakutaki tuu huna haja ya kumbembeleza, sijui kuwekana vikao sijui kujadiliana vitu gani.

Ndoa kama ime-expire ime-expire tuu. Huna haja ya kubembelezana.
Utajuaje ndoa ime-expire?

1. Malengo Makuu ya ndoa kuvunjwa kimakusudi.
Malengo nilishayataja kule juu.
Mwanamke au Mwanaume hataki kukusaidia Kihisia, Kimwili, Kiroho na kiakili.
Mtu anakunyima nyumba kimakusudi.
Mtu anakujibu nyokonyoko bila KUJALI
Mtu mbinafsi, anataka yeye tuu ahudumiwe au apendwe yeye tuu.
Mtu anakupiga au kujifanyia mambo kimabavu.
Kumbuka watibeli hatupigi Wake zetu Wala wanawake zetu hawapigwi Wala kupiga wanaume.
Kama hamuelewani kila mtu anachukua hamsini zake.
Ni kwa sababu Sisi tunaakili, tunasikia Jambo hata bila kuambiwa,

Mwanamke ku-cheat na kufanya Umalaya, ndoa inakufa siku hiyohiyo.
Watibeli wanatambua Mwanaume anaruhusiwa kuoa Wake wengi au kuwa na Masuria lakini lazima amshawishi Mkewe Mpaka akubali kwa hiyari yake(ya mkewe)

2. Mwanamke kutokufanya Kazi za uzalishaji au kulazimishwa kutokufanya Kazi za uzalishaji
Moja ya dalili ya kuonyesha hakuna ndoa hapo ni Mmoja wa wanandoa aliyemzima Kabisa wa afya, asiye na tatizo lolote kutokufanya Kazi ya uzalishaji. Hapo utahesabika hakuna ndoa.
Hakunaga upendo ndani ya ndoa sehemu ambayo mtu Mmoja ni nguzo Moja yaani anatemewa. Ndoa ni kama matairi ya baiskeli la nyuma linavuta tairi la Mbele. Na la Mbele linasaidia tairi la nyuma.

Narudia hakunaga upendo wa dhati kwenye familia ambayo mwanandoa Mmoja Hana Kazi za uzalishaji Mali. Upendo hauruhusu utegemezi na unyonyaji.
Mke lazima afanye Kazi
Mume lazima afanye Kazi
Kazi ni amri ya Maisha, amri ya kiumbe chochote kile.

Watu wanaojitegemea, namaanisha wenye uwezo WA kuendesha maisha yao bila kumtegemea Mtu yeyote huwa na upendo wa KWELI.
Mtu anayejitegemea lakini hataki mwenza wake ajitegemee huyo ni shetani na anampango OVU ambao Muda ukifika utamuanika waziwazi.

3. Kutopeana Kampani.
Ukiona mume au Mke hataki kutoa Kampani, Muda wake kwaajili yako.
Muda mwingi anatumia kwa marafiki zake, ndugu zake hasa Muda baada ya Kazi. Hiyo ndoa imeshakufa.

Baada ya majukumu ya Kazi, kinachofuata ni Familia.
Watu wanafanya Kazi kwaajili ya Familia Zao.
Ukitoka kazini nenda kwa Mkeo/Mumeo endeleeni na Mambo mengine.

Kama ni Club nendeni wote, Kama ni kwenye Mpira nendeni wote. Ndio mambo ya Ndoa.
Kazi asilimia 50%
Familia asilimia 40%
Jamii, marafiki. 10%

Kama huwezi hivyo hapo ndoa ni Bora uachane nayo.

Bahati nzuri ni kuwa, ndoa ipo automatically kwa sababu ni Jambo la asili. Hivyo ukiona mtu anatoa Muda mwingi kwa Watu back kuliko mkewe/mumewe huyo Jua haipendi familia yake.

Kuna watu wanafanya Kazi za mbali na wapo busy Muda wote lakini Wake au waume Zao hujihisi wapo karibu na wenza wao kwa ule ukaribu wa mawasiliano.

Kampani ni zaidi ya kuwa physically. Uwepo na ukaribu utauhisi tuu hata mtu awe maili elfu kumi. Kwenye upendo hakunaga umbali, kwenye Akili hakunaga umbali.
Lakini kwenye chuki na ujinga umbali upo.
Ndio maana mtu unaweza kuishi chumba kimoja kila siku lakini ukamuona yupo mbali na uwepo wake usiuone.

4. Kutaka Mali ambazo hujazichuma.
Moja ya dalili ya mtu ambaye hupaswi kumwoa ni kutotaka kuzalisha Mali zake mwenyewe, kutumia Mali zako huku zake hataki utumie. Huyo siku mkiachana lazima akusumbue tuu.

Sisi Watibeli sio wajinga kuoa wanawake wenye UTU kwa Sababu tunajua hata siku tukiachana hakutakuwa na madhara makubwa zaidi ya kutengana tuu.

Mwanamke atapewa Mali alizozalisha siku ya kuachana. Lakini pia Mumewe kwa hiyari/mapenzi yake anaweza kumuongezea sehemu ya Mali zake(Mali za mwanaume)

Vivyohivyo, mwanaume atapewa Mali alizozalisha siku ya kuachana. Mwanamke ikiwa yeye alikuwa tajiri au anamali nyingi alizozalisha kumshinda mumewe ataweza kumuongezea Mumewe kwa hiyari yake mwenyewe na sio kulazimishwa.

Hiyo ndio inaitwa HAKI.

Malengo ya Talaka sio kwa ubaya Bali ni kwa Wema tuu ili kulinda usalama na uzuri hata mdogo uliobakia. Kuyalinda malengo na mafanikio kidogo yaliyopatikana.

Talaka inakuwa dhulma pale ambapo Mmoja wa wanandoa amedhulumiwa HAKI zake. Hasa zile alizozitolea jasho lake mwenyewe.

Hata hivyo,
Mwanaume aliyeruhusu au aliyemzuia mkewe asifanye Kazi au aliishi na mwanamke Miaka nenda Rudi ambaye hafanyi Kazi na akaridhia huo ilikuwa ukatili.
Itampasa wagawane NUSU kwa NUSU.

Kumzuia mtu mwingine asifanye Kazi za uzalishaji ni kosa la jinai. Ni ukatili, ushenzi, na ubaya. Ni kumfanya mtu Mateka na kumtumikisha.

Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Kunatofauti ya watu na binadamu....

Imeandikwa, ndoa na iheshimiwe na WATU wote na si BINADAMU.

=If you are not a gamer, don't get into that game.

=Kama huwezi kujitunza, kujihudumia, kujipenda, saa ngapi utafanya hayo kwa mwingine.

I love my MTUwangu 😉, HE completes me 🥰 and am satisfied 😋.
 
Mwaaah!
Kasie Matata.

Chumu Hilo shemeji asilichukulie kiwivu Wivu. Ni chumu la Kaka kwa Dada
 
Tumuulize huyu aliyevunja katiba ya mikataba mpaka serikalini.
IMG_0612.jpeg
 
Mkuu huwa nakufuatilia sana nakuona mtu wa maana sana lakini kwa kweli umenidissappoint sana aise.
 
Tofautisha kazi na kipato ,hakuna binadamu asiyekuwa na kazi hata chizi ukimuacha atenda kuzunguka na kurdi ila hawezi kutengeneza kipato.

Mwanamke akikaa nyumbani hata kulea watoto ni kazi ndio maana kuna watu maalum wanaajiriwa na kulipwa kwa kazi hiyo.

Sisi imani yetu ni kumlipa mwanamke kwa kazi zote ikiwa ;kupika,kunyonyesha watoto ,kufua na nyingine.

Narudia tena hakuna binadamu asiyefanya kazi hata mmoja labda awe na tatizo ..
 
Kazi ni shughuli yoyote inayokufanya upate mahitaji yako ya kila siku yanayokufanya uishi.

Ukijifulia au kumfulia mtoto, au ukisafisha nyumba yako unapata Mahitaji yako?

Nafikiri unashindwa kutofautisha kati ya KAZI NA SHUGHULI, MAJUKUMU NA WAJIBU.

Maneno hayo yanaingiliana lakini yanatofauti za msingi
 
Back
Top Bottom