Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ao wazungu wenyew mbona wanachepuka sana tu.
wanawachuna tu,hata hivo wazungu huwa wanakutana makahaba,ukiona mzungu yupo relationship na binti wa kiafrica basi ujue huyo binti historia yake haikuwa nzuri.
pepaz zina mwisho lakn
Wazungu wanachepuka zaidi ya waafrika ila wanatumia Akili.mwanaume wa kiafrika Mara arudi asubuhi mara nyumba ndogo.mzungu atakuwa mkweli atakuambia nimeoa unasemaje ? Mwafrika sijaoa nawakati kaoa au mke wangu hafanyi Hivi na vileJibu moja tu wanaume weusi wanachepuka, na wanawake weusi wanajua Kua wanaume weusi wanawaua wao Kua wanachepuka ndio maana wakaona bora waende kwa wazungu ambao hawajui Kua wanawake weusi wanachepuka! Kitu
Kingine pesa za kula bata wanaume wengi wanaishi ulaya wengi wana malengo ya maisha mazuri hawapo tayari kutumia pesa hovyo hovyo Kama
Wazungu ambao amezaliwa baba yake Hana shida wala hafikilii kumsaidia ndugu yeyote ndio maana wasichana weusi wanaenda kujibanza huko! Kitu kingine
Wanaume wanao wapata wasichana weusi ni wale watalaka unakuta mzungu ameoa karibia ndoa 3 wazungu wenzie wamemkimbia sasa anakutana na mtoto
Kutoka bongo anakiu ya starehe ndio a nalala na mbabu! Wa miaka 62! Wasichana wachache sana wanaolewa au kutoka na wazungu under 45 hata Kama msichana ana 22-26!!
huenda pia una salio la kutoshamie nimeolewa na mzungu alikuwa second boyfriend wangu an he married me mwaka wa kumi huu.mzungu anapenda haswa mtanzania kwa sababu tanzanian women are very very calm .watu wengi they need to use drugs to be calm .ushaona black america akikasirika wewe au m nigeria utakoma.
hii mpya kwanguwazungu wanachepuka zaidi ya waafrika ila wanatumia akili.mwanaume wa kiafrika mara arudi asubuhi mara nyumba ndogo.mzungu atakuwa mkweli atakuambia nimeoa unasemaje ? Mwafrika sijaoa nawakati kaoa au mke wangu hafanyi hivi na vile
Mbaya zaidi nia ya mlimbwende iwe hiyo , kisha mzungu anaekuja mpata ni kishuka sipati picha sijui inakuaje hapo baadae baada ya kumtumiaWatu wapo kikazi zaidi wanatafuta pepaz mkuu...
Wazungu ni straight foward jmn c ka wanaume wa kibongo
Sent from my iPhone using JamiiForums
labda ka sababu wanarangi tofauti kwa hiyo superiority complex itatake place........ na always mwafirika anajiona inferior kwa muzungu kwa wale wasiojielewa.......... sasa hapa kipengele cha divison of power inakuwa ipo saiya kutoka na inferiority......... superior culture goes together with with inferior culture hayo tu........... mafahali wawili hawakai zizi moja....
wanaume weusi especially hawa wetu wa kibongo ni sheededer! hawana msimamo, wana ajenda zao za siri na wapo kimaslahi zaidi. kwa mfano kama unaolewa na mwanaume wa ki-TZ mkiwa marekani ni lazima kuna kitu anataka kwako, makaratasi au umlipie bills....wengi wao ni wavivuuu wanataka mteremko. ila ukipata mzungu anayeshughulisha either kuajiriwa au kibiashara ataku-support tu na akikuchoka atakwambia siyo hawa wetu akikuchoka atakuletea mchepuko na ukimwi juu!