pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
MAKABAYO wewe, kasome acha ubishiDuh! Mkuu sio makabayo ni Matayo labda kama ulimaanisha kitabu nisichokijua lakini kama ni Matayo 12:43 hapa Yesu alikua anazungumzia pepo wachafu. tena anazungumzia pepo saba walio waovu, sasa ukweli tunaoutafuta wa kuwaombea wafu na kupeleka shida zetu kwa wafu upo wapi katika mistali hii?
au umechukua kitabu kingine cha Mungu nisichokijua ndo maana nilitaka kusaidiwa kujua umaana wa kuwaombea wafu, bado hujanijibu nikakuelewa ndugu!