Kwa nini tuwaombee waliokufa?

Nahisi wewe ni masalia halisi...

Masikini hujui hata historia ya Biblia..Hujui kuwa Vitabu vilipunguzwa na Martin Luther...

Daah....Ila wafuasi wa mama Hellena ni tabu ingine katika dunia..

Martin Luther alipunguza akavipeleka wapi mkuu ?
 
Nahisi wewe ni masalia halisi...

Masikini hujui hata historia ya Biblia..Hujui kuwa Vitabu vilipunguzwa na Martin Luther...

Daah....Ila wafuasi wa mama Hellena ni tabu ingine katika dunia..

Nafikiri kabla ya kukimbilia kujua historia ya biblia ungejifundisha kwanza historia ya ukatoliki
 
Hahaha, hauko serious,
But it was not until 1965 that the Vatican eliminated the phrase "perfidious Jews" from the liturgy of a Holy Week service.

http://www.washingtonpost.com/national/religion/pope-francis-apologizes-for-persecution-of-pentecostals/2014/07/28/99694fba-168d-11e4-88f7-96ed767bb747_story.html

Wakatoliki mauaji waliofanya hapa duniani ndugu zao IS wanafanya mzaha ni jambo la kushukuru mungu sikuzaliwa zama hizo ilikuwa ni hatari haitatokea tena na record haitavunjwa

Mkuu naona unaishi kwa kutazama nyuma badala ya kule tunakoelekea.. ambapo ndio pa msingi. Pia Mkuutukizingatia kuwa Historia haifutiki ni vizuri ufahamu wengi wa wanao anzisha haya makanisa mapya si watu wema kwenye hizi imani wengine ni member wa secrete societies wenye lengo la kuvuruga jamii. Mfano viongozi waliounda Mormon, Jehovva Witness (JW) Sabaths.) na sasa tuna congragation zinazojitajirisha kupitia shida za watu.. sisemi wote waovu ila ujue penye msafara wa mamba kenge wapo
 
Mtu akishakufa hana habar na lolote lile linaloendelea chin ya jua anarud ktk hal kama aliyokuwa nayo kabla hajazaliwa mpaka hapo atakapo fufuliwa kwa ajili ya hukumu. Hivyo kuwafanyia ibada wafu ni kaz bure
 
Mtu akishakufa hana habar na lolote lile linaloendelea chin ya jua anarud ktk hal kama aliyokuwa nayo kabla hajazaliwa mpaka hapo atakapo fufuliwa kwa ajili ya hukumu. Hivyo kuwafanyia ibada wafu ni kaz bure
 
Nafikiri kabla ya kukimbilia kujua historia ya biblia ungejifundisha kwanza historia ya ukatoliki
Historia ya ukusamyaji wa Biblia ni moja katika historia ya Mambo makubwa yaliyofanywa na kanisa Katoliki..

Unajua historia ya Usabato na Mama Hellena White..?
 
Mtu akishakufa hana habar na lolote lile linaloendelea chin ya jua anarud ktk hal kama aliyokuwa nayo kabla hajazaliwa mpaka hapo atakapo fufuliwa kwa ajili ya hukumu. Hivyo kuwafanyia ibada wafu ni kaz bure

Kwa mapokeo yako ya vitabu 66 vya Biblia ya Martin Luther ni sawa...
 
na wewe ni kwa mapokeo ya nan si sawa

Unaelewa ulichoniliza..? Au...Umeelewa nilichoandika...?

Sina shida na kitu mtu anachoamini, sitakuona mkosefu kwakuwa huamini kuombea(siyo kuomba) wafu..Kama huamini kuwaombea wafu Mungu awapatie rehema sina shida na wewe...

Sisi Wakatoliki tunaamini ktk kuwaombea wafu kwa uthibitisho wa maandiko matakatifu ambayo hayajapunguzwa wala kuongezwa na mtu yoyote....

Ahsanta
 
Mie ni MUISLAAM tena mwenye kuupenda Uislaam.

Hivyo kwa mujibu wa DINI yangu siwezi enda omba kaburi linisaidie.

Samahani kiongozi, nipe maana ya ule msemo wa tumswalie mtume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…