Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Kama yalio mpata Muhammad mtume wako. Kwani yupo hai au amekufa?Kufa ni nini....!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yalio mpata Muhammad mtume wako. Kwani yupo hai au amekufa?Kufa ni nini....!?
Kama yalio mpata Muhammad mtume wako. Kwani yupo hai au amekufa?
MBWA WA MANZESE hebu njoo utuambie juu ya hili...Daaaah
Nahisi wewe ni masalia halisi...
Masikini hujui hata historia ya Biblia..Hujui kuwa Vitabu vilipunguzwa na Martin Luther...
Daah....Ila wafuasi wa mama Hellena ni tabu ingine katika dunia..
Nahisi wewe ni masalia halisi...
Masikini hujui hata historia ya Biblia..Hujui kuwa Vitabu vilipunguzwa na Martin Luther...
Daah....Ila wafuasi wa mama Hellena ni tabu ingine katika dunia..
Mkuu Imani zote zilizo asi katoliki zimekuwa zikifanya blunder worldwide.. kuanzia kuruhusu divorce, utoaji mimba, mauaji ya huruma, u-gay na mambo mengine.. limebaki kanisa katoliki palepale..tena huwa halina tabia ya kujadili madhehebu mengine yoyote ama dini nyingine zozote katika mafundisho yao.. kama wafanyavyo evangelical christians ambao hawaachi kupondea katoliki na kujivuna lakini hatma zao sikuzote imekuwa aibu.... jaribu kufikiri tofauti.
Pia ningeomba uniambie nini maana ya pale yesu alipomwambia petro kwamba ni mwamba?
Mkuu naona unaishi kwa kutazama nyuma badala ya kule tunakoelekea.. ambapo ndio pa msingi. Pia Mkuutukizingatia kuwa Historia haifutiki ni vizuri ufahamu wengi wa wanao anzisha haya makanisa mapya si watu wema kwenye hizi imani wengine ni member wa secrete societies wenye lengo la kuvuruga jamii. Mfano viongozi waliounda Mormon, Jehovva Witness (JW) Sabaths.) na sasa tuna congragation zinazojitajirisha kupitia shida za watu.. sisemi wote waovu ila ujue penye msafara wa mamba kenge wapoHahaha, hauko serious,
But it was not until 1965 that the Vatican eliminated the phrase "perfidious Jews" from the liturgy of a Holy Week service.
http://www.washingtonpost.com/national/religion/pope-francis-apologizes-for-persecution-of-pentecostals/2014/07/28/99694fba-168d-11e4-88f7-96ed767bb747_story.html
Wakatoliki mauaji waliofanya hapa duniani ndugu zao IS wanafanya mzaha ni jambo la kushukuru mungu sikuzaliwa zama hizo ilikuwa ni hatari haitatokea tena na record haitavunjwa
Mkuu nanona unaishi kwa kutazama nyuma badala ya kule tunakoelekea.. ambapo ndio pa msingi
angalia usijikwae ama ukageuka jiwe la chumvi kabisa.kama hujui ulikotoka unakokwenda huwezi kufika
Historia ya ukusamyaji wa Biblia ni moja katika historia ya Mambo makubwa yaliyofanywa na kanisa Katoliki..Nafikiri kabla ya kukimbilia kujua historia ya biblia ungejifundisha kwanza historia ya ukatoliki
Mtu akishakufa hana habar na lolote lile linaloendelea chin ya jua anarud ktk hal kama aliyokuwa nayo kabla hajazaliwa mpaka hapo atakapo fufuliwa kwa ajili ya hukumu. Hivyo kuwafanyia ibada wafu ni kaz bure
Martin Luther alipunguza akavipeleka wapi mkuu ?
kuna nini tena mkuu Otorong'ong'o ?
Kwa mapokeo yako ya vitabu 66 vya Biblia ya Martin Luther ni sawa...
na wewe ni kwa mapokeo ya nan si sawa
Mie ni MUISLAAM tena mwenye kuupenda Uislaam.
Hivyo kwa mujibu wa DINI yangu siwezi enda omba kaburi linisaidie.
Hujaona hiyo picha na hiyo link..
Unajua Historia ya usabato na mama Hellena White..