Hope start
Member
- May 14, 2024
- 51
- 126
Hao ni mongoni ila uhalisia population ya pangu pakavu uzazi mwingi mno
Ndio, maisha ya hapa dunia yapo kimtego zaidi... Lazima swala wawe wengi na simba wawe wachache.Kuna watu wengi sana hawawezi hata kujimudu wao wenyewe.. ila wanazaa kama panya
Kuna point ya msingi ulitaka kuiandika hapa lakini nafiri typing error imefanya usielewekeMindset hasa wanawake Wana kuwa comfortable hormone ziko supa mfano una weza mnyandua dem miaka no Prego njo kwa beki tatu uki mshika tu mkono teyali kajaa mkuu 😆😆😆😆🏃🏃