Kwa nini ujauzito na Uzazi huwapenda watu wasio na pesa?

Hao ni mongoni ila uhalisia population ya pangu pakavu uzazi mwingi mno
 
Kuna watu wengi sana hawawezi hata kujimudu wao wenyewe.. ila wanazaa kama panya
Ndio, maisha ya hapa dunia yapo kimtego zaidi... Lazima swala wawe wengi na simba wawe wachache.

Kabla hujaleta wapendwa wako duniani fikiri mara miamia
 
Mindset hasa wanawake Wana kuwa comfortable hormone ziko supa mfano una weza mnyandua dem miaka no Prego njo kwa beki tatu uki mshika tu mkono teyali kajaa mkuu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸƒπŸƒ
Kuna point ya msingi ulitaka kuiandika hapa lakini nafiri typing error imefanya usieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…