Kwa nini ukila Zege lazima unywe soda?

Kwa nini ukila Zege lazima unywe soda?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani.
 
Hivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani.
Kwa hali hii ya kupenda zege mtasaidiwa sana kwa wapenzi wenu

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Me mkuu huwa sinywi soda nakunywa maji mengi sababu ya mafuta halafu baadae kidogo nayeyusha na kinywaji
 
Zege linaleta kiu ya soda sana. Tena ya baridi.
Ndiyo sababu.
Kwani na wewe unakulaga chipsi yai "tepetepe"?

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom