Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani unamsikizia tuu mkuu,ila sema ndio hulka yao.Hahaaha nimetafakari sana kuhusu zege, kumbe ni msosi wa wanaume wa Dar? Kwa sababu shetani anahusika na huo msosi
Kwa hali hii ya kupenda zege mtasaidiwa sana kwa wapenzi wenuHivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani.
Pambafu.... wapi kasema ni mwanaume wa Dar?Hahaaha nimetafakari sana kuhusu zege, kumbe ni msosi wa wanaume wa Dar? Kwa sababu shetani anahusika na huo msosi
Hahahaha wanajua gongo tuWanaume wa Mikoani wengne wanamiaka 7 hawajaonja soda
Aliposema "zege = chips" wakati sisi wa mikoani tunajua "zege = kande".Pia chips hailiwi na wanaume watu wazima wenye familia.Pambafu.... wapi kasema ni mwanaume wa Dar?
Na twakwimu zinasema wanaume wa mikoani hawajawah kutongeza wanawake wa dar Bali huwa wanahurumiwa2Hahahaha wanajua gongo tu
hamis77 huyo shetani yupo kwenye mayai au viazi...?Hahaaha nimetafakari sana kuhusu zege, kumbe ni msosi wa wanaume wa Dar? Kwa sababu shetani anahusika na huo msosi
Wale huwa hawajui kutongoza ndio mana wanabaka vitoto vyetu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na twakwimu zinasema wanaume wa mikoani hawajawah kutongeza wanawake wa dar Bali huwa wanahurumiwa2