ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Uoga wa kozi je?Okay mimi sijachagua hiyo course kabisa ila about 80% ya class mate wameichagua kwa sababu zifuatazo
1.Hawana referee wa kuwasaidia kwenye kazi wakisoma course nyinginezo
2.Mkopo kwa ajili ya kujikidhi na maisha ya chuo
3.Wana mipango endelevu bachelor degree anachukua education ila masters anasoma kitu kingine. Eg administration
4 kutokuwa na uelewa kuhusu course nyinginezo inahusiana na ipi ajira zake ni wapi??
Uoga wa kozi je?
Hilo lako wewe mwenyewe.Uoga wa kozi je?
Umenkumbsh mbl hilo jina odili samalu wa edna odo na chief nanga teh teh ila nirud kweny mada wana arts weng tunpend education kwa sababu ya ajra na mkopo na nahc km 80 % walojaza hwaipend kbsaaa iyo education ila wanajaz kufuata upepo unapoenda
Nlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....
No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....
Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....
cc; doct

no handsome salary pia...hand to mouth..or little savingz...u live n die ukiwa kwenye lile tabaka la immediate above low income earners' one(unless kwa wewe mtoto wa kike lyk u inategemea na ur hubbyz'' guts..(never underestimate the p.o.p teh teh) )
kim nana i'm real search for women like u, plz PM me and give me u'r contacts please!
Siamini sana kutoka kwa kutegemea mshahara....you can invest na maisha yanaendlea....na ukiwa huku una muda mwingi wa kusimamia miradi, una opportunity ya kupata mkopo....
Kuna watu hawana mshahara hata wa laki na wana maisha mazuri.....we endelea kungoja mshahara wa milioni ukija kustuka umefukuzwa kazi ndo unaanza kuuza na hicho kigari ulichokopa....