Kwa nini umechagua Shahada ya Ualimu?

Kwa nini umechagua Shahada ya Ualimu?

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
WanaJF naomba tujadili hili suala la sisi watu wa arts kuchagua education kwa wingi!

Je ni kwamba kozi nyingine za arts hazina ajira kabisa, au ni kuogopa changamoto za maisha, kuogopa koz?

Tujadili
 
Okay mimi sijachagua hiyo course kabisa ila about 80% ya class mate wameichagua kwa sababu zifuatazo

1.Hawana referee wa kuwasaidia kwenye kazi wakisoma course nyinginezo

2.Mkopo kwa ajili ya kujikidhi na maisha ya chuo

3.Wana mipango endelevu bachelor degree anachukua education ila masters anasoma kitu kingine. Eg administration

4 kutokuwa na uelewa kuhusu course nyinginezo inahusiana na ipi ajira zake ni wapi??
 
Uoga wa kozi je?
 
Umenkumbsh mbl hilo jina odili samalu wa edna odo na chief nanga teh teh ila nirud kweny mada wana arts weng tunpend education kwa sababu ya ajra na mkopo na nahc km 80 % walojaza hwaipend kbsaaa iyo education ila wanajaz kufuata upepo unapoenda
 
Hakuna ukweli hapo juu! Ukweli ni kuwa na uhakika wa mkopo kuliko course nyingine!!
 
Kauli za class mates wangu ni kuwa walijaza education kukwepa changamoto za ajira
 
Mkuu jamaa wengi wanapenda vya bure na vya mteremko hawataki kuumiza vichwa thus why wanakimbilia ualimu mwisho wa siku wanaishia kuganga njaa mjini na kupiga watu mizinga na lawama kwa serkali...
 
Umenkumbsh mbl hilo jina odili samalu wa edna odo na chief nanga teh teh ila nirud kweny mada wana arts weng tunpend education kwa sababu ya ajra na mkopo na nahc km 80 % walojaza hwaipend kbsaaa iyo education ila wanajaz kufuata upepo unapoenda

Hahahaha mkuu hata mi nimekumbuka sana harakati za Odili, Maxwell kulamo, Eunice against yakina chief koko na chief Nanga... Ni shida
 
Nlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....

No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....

Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....

cc; doct
 
no handsome salary pia...hand to mouth..or little savingz...u live n die ukiwa kwenye lile tabaka la immediate above low income earners' one(unless kwa wewe mtoto wa kike lyk u inategemea na ur hubbyz'' guts..(never underestimate the p.o.p teh teh) )
 
kim nana i'm real search for women like u, plz PM me and give me u'r contacts please!
 
Nlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....

No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....

Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....

cc; doct

haya mwl nimependa uandish wako
 
no handsome salary pia...hand to mouth..or little savingz...u live n die ukiwa kwenye lile tabaka la immediate above low income earners' one(unless kwa wewe mtoto wa kike lyk u inategemea na ur hubbyz'' guts..(never underestimate the p.o.p teh teh) )

Siamini sana kutoka kwa kutegemea mshahara....you can invest na maisha yanaendlea....na ukiwa huku una muda mwingi wa kusimamia miradi, una opportunity ya kupata mkopo....

Kuna watu hawana mshahara hata wa laki na wana maisha mazuri.....we endelea kungoja mshahara wa milioni ukija kustuka umefukuzwa kazi ndo unaanza kuuza na hicho kigari ulichokopa....
 
Wengi wanahofia changamoto ya ajira mbeleni na pia suala la mkopo nalo ni shida.
Na asilimia kubwa ya wanaosoma Education ni watoto wa chini ya $ 1.
Ila nawapongeza maana ajira ngumu sana kama huna wa kukushika mkono.
 
Siamini sana kutoka kwa kutegemea mshahara....you can invest na maisha yanaendlea....na ukiwa huku una muda mwingi wa kusimamia miradi, una opportunity ya kupata mkopo....

Kuna watu hawana mshahara hata wa laki na wana maisha mazuri.....we endelea kungoja mshahara wa milioni ukija kustuka umefukuzwa kazi ndo unaanza kuuza na hicho kigari ulichokopa....

I Like It!! U are actual great thinker.
 
kwa art course nyingi hazna mkopo thus why wanaomba education but kwa mtu wa science n changuo lako tu.
 
Back
Top Bottom