Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kabisa kaka tunateseka sana yaani sana"Wanatuona MANYANI"
Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
Kabisa tunateseka sana wao majumbani kwao kuna umeme haukatiki hovyoKinachokera zaidi hawatoi ratiba ya huu mgawo wanatuona sisi manyani
Kweli wanatuona manyani walaaniweHuku Mbezi juu wamekata saa 12:30 yaelekea tutalala gizani leo
Co hapo sasa umemuuliza nani ?Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
Poleni sanaHapa mbagala ndani ndàni huku tunalala kiza leo!
Naunga mkono hoja 👍JPM alishasema kunakuwa na mipigo ya matumizi hewa... ilo liko wazi mbona
Taifa la hovyo
Naunga mkono hoja 👍 nchi miyuyusho hiiTaifa la hovyo
Wanatuona manyaniCo hapo sasa umemuuliza nani ?
Wewe endelea kuwa mzalenda lipa kodi kwa maendeleo ya taifa.