Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta?

Nitajieni idara au sekta yoyote katika nchi hii ambayo mambo yamenyooka na hakuna longo longo,nimekaa pale
 
Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
Tatizo sio kukatika KWA umeme!

Tatizo ni kuwa sijui ni nani alituloga tuamini chanzo pekee kikubwa cha umeme nchini mwetu ni maji!!

Yaani umeme wa maji pekee hauwezi kuwa toshelevu KWA nchi yetu!

NDIO MAANA unakatika katika sana!hasa kipindi hiki cha ukame!!
 
Mgao wa umeme unanufaisha familia za watawala na wamiliki wa CCM. As long as, hizi familia zinaendelea kumiliki CCM na Serikali, usitegemee mgao wa umeme kukoma.

Makampuni ya waingizaji majenereta, sahizi yanashindana kuingiza majenereta makubwa kwaajili ya makampuni. Kwa muda mfupi, wamewatengeneza matajiri wakubwa watakaokichangia chama.

Majenereta yote unayoyaoni nchi nzima, waingizaji hawazidi watano.
Kabisa wanazingua
 
Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
Umesahau yale mamitambo ya IPTL bado yapo hayana kazi. Magufuli alimalizana nayo sasa hiv wanatengeneza mazingira yapewe tena mkataba.
 
Tatizo sio kukatika KWA umeme!

Tatizo ni kuwa sijui ni nani alituloga tuamini chanzo pekee kikubwa cha umeme nchini mwetu ni maji!!

Yaani umeme wa maji pekee hauwezi kuwa toshelevu KWA nchi yetu!

NDIO MAANA unakatika katika sana!hasa kipindi hiki cha ukame!!
Hawana mipango wajinga sana
 
Kuna majenereta yamejaa store kama mnataka mgao uishe yanununueni kwanza yaishe.
 
Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
Na ukirudi tunashangilia huooooooooooooo kama hidani vile. Tuna laana sisi
 
Back
Top Bottom