wewe toka mwaka 2004 mpaka 2007 hukuwa umempata mwingine mpaka huyo akuchezee namna hiyo....au na wewe huwezi ishi bila yeye....sasa huyo anakufanya chambo....akisha umizwa huko wewe ndio poozeo lake...changamka bibie/kaka utakuja kukuuwa na gonjwa....shaurilo
Huyo anafaa umpige chini mbele ya marafiki zako! Mwingize kwenye chambo halafu umpe kibuti kitakacho mpa adabu maisha yake yote!
Kiongozi ushakuwa mjukuu wa sheikh Yahya? Ulijuaje kama ni shori?Naona Preta umeamua kumpa za uso kabisaaa, and yes you are right, huyo demu ni poozeo aisee!!! she needs to open eyes and realise anatumika kama buti la gari
Mkuu naona umeamua kuulizia maiti ndani ya sanda.....hivi anapoondoka uwa na ww unakosa poozeo