Nina mpenzi wangu,mpaka sasa simuelewi na kila ninalofikria kummfanyia naona halinimtoshi.mwaka 2004 tulikuw wapenzi,tukaachana ktk mazingira yeye mwenyewe kaamua.mwaka 2007 akaomba turudiane kiukweli nilimpokea kwa moyo mmoja nikampenda zaidi ya mwanzo.sasa kazingua tena hana sababu yyte ya msingi ya kuachana na mimi,najua baada ya muda wwte atarudi embu nishaurini si masihara.